Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

Hauhitaji computer yenye specifications kubwaaa ili kuwa hacker. Unaweza uka na ki pc chako simple tu na ukafanya jambo
Simple ya RAM ngapi? fanya utafiti umuhimu wa RAM kubwa ili kuwa na ufanisi kwa kazi yako.
 
hata kama una 2GB inatosha, inategemea unataka kuingia wapi na kufanya nini
Mkuu kwa kifupi kama huna 16GB RAM wewe sio hacker ni muigizaji,ndio maana bongo tunashindwa hata kushindana kwenye platform za heshima kama hackerone.
 
umekalili bro.. 16GB za kazi gani ? yani hizo 16GB zinakusaidia nini wewe kuingilia mfumo ? Sikuelewi Bru 😅😅😅 yani hizo 16 zinakusaidia kwenye nini ?
 
Hakuna haja ya kubishana nenda google tafuta hilo swali.
Niende google kufanyaje wakati ni part ya kazi yangu. Naongea nachokijua. Sio lazima uwe na 16GB inategemea unataka kufanyaje au kuingia kwenye mfumo upi na kwa namna gani.. ndio maama part muhimu sana kabla ya lolote unatakiwa kupata information nyingi sana za mfumo unaotaka kuingilia kabla ya lolote.. kuna aina ya attack kikubwa computer iwe ina waka tu na kupata data 😅😅😅
 
Niende google kufanyaje wakati ni part ya kazi yangu. Naongea nachokijua. Sio lazima uwe na 16GB inategemea unataka kufanyaje au kuingia kwenye mfumo upi na kwa namna gani.. ndio maama part muhimu sana kabla ya lolote unatakiwa kupata information nyingi sana za mfumo unaotaka kuingilia kabla ya lolote.. kuna aina ya attack kikubwa computer iwe ina waka tu na kupata data
Sawa hongera...
 
Niende google kufanyaje wakati ni part ya kazi yangu. Naongea nachokijua. Sio lazima uwe na 16GB inategemea unataka kufanyaje au kuingia kwenye mfumo upi na kwa namna gani.. ndio maama part muhimu sana kabla ya lolote unatakiwa kupata information nyingi sana za mfumo unaotaka kuingilia kabla ya lolote.. kuna aina ya attack kikubwa computer iwe ina waka tu na kupata data 😅😅😅
Nimeshangaa RAM 16 GB unataka kuhack Pepo au..

Kuna tools like Raspberry PI ina 1GB tu ile device inakupa kila kitu ...

Even Linux hasa ukiinstall kavu bila GUI inatosha ku run under 512 Mb ni ww kucheza na terminal tu..

Ram kubwa (4_8) maybe ukitaka kukeep sessions ziwe alive for more than 24hrs.. etc

Na hiyo si kigezo cha kuhold ram kubwa..
Linux ipo simplified kutumia minimum hardware resource kadri inavyowezekana..
 
😅😅 kwanza alianza na 32GB kashuka hadi 16GB namuuliza unataka za kazi hizo hana majibu
 
Niende google kufanyaje wakati ni part ya kazi yangu. Naongea nachokijua. Sio lazima uwe na 16GB inategemea unataka kufanyaje au kuingia kwenye mfumo upi na kwa namna gani.. ndio maama part muhimu sana kabla ya lolote unatakiwa kupata information nyingi sana za mfumo unaotaka kuingilia kabla ya lolote.. kuna aina ya attack kikubwa computer iwe ina waka tu na kupata data [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimepitia comments zote za umu ila comments zako Zinamashiko ndani yake ila tuitaji kuwelewa sio kubishana ila watu wengingi nimeona tunataka kubshana bora bora ya mimi nisejua chochote nitabaki kusoma comments zenu lakini najifunza kitu kutoka kwenye comments zenu
 
The term hacker was born in the sixties in the MIT community.

It refers to people who prefer to understand how a system works rather than just using it.
 
Ni kweli 100% Ili uwe penetrater mnzuri Cha kwanza inabid ujue hiyo system inafanyaje kazi ukishajua ndipo utakapoweza kujua udhaifu uko wapi kwa uzoefu wangu hakuna hacker anayejua kudukua kila kitu hii ni kutokana na IT kuwa uwanja mpana sanaaa zaidi ya watu wengi wanabyofikiria isipokuwa kila mmoja ame specialize eneo lake

mfano Kuna mtu anajua social engineering vizuri mwingine web anajua in and out

Au unakuta anajua kufanya forensic ya network tu au computer forensics hapa mtu anajua kuchambua aina zote za file system unazojua wew na jinsi zinavyofanya kazi mambo mengi aisee

bongo benki zinapigwa Hili swala linajulikana Ila isipokuwa hawatangazi kwa sababu wanaweza kupoteza wateja ndio maana ukiangalia hizi big company commercial and non commercial wanatumia third-party security system mfano akina sophos, Fortnite, force point e.t.c

Tusiwe na tabia ya kudharau vya kwetu IT bongo wapo Tena wazuri sanaa
 
Nadhalia ya watu wengi wanaposikia Hacker wanajua kwamba sehemu yeyote inatumia technology basi unaweza kuhack ila wasichojua ni kwamba kuna njiaa nyingi zinazotumika kwenye hacking

Mfano. Unataka kuni Hack kwenye account yangu ya Jf hapa itakubidi ujue mfumo mzma wa Jf unavyo fanya kazi na account zote zina ifadhiwa vipi taharifa muhimu kwa users wote server zao zinavyo fanya kazi kwa ujumla kisha utaanza kutafuta madhaifu yapo wapi kisha kisha utafanya jambo unalotaka kulifanya.

Mimi naamini hapa Bongo hackers wapo wengi tu ila ni ngumu kuwajua coz taharifa zao wataki ziwe adharani coz kuna mambo kadha yatawabana kama mambo ya kishelia na siwezi kumziaki mtu kama ajui kitu furani.

Mimi kwa mtazamo wangu inabidi tuwasikilize wote hackers na sio hackers tupate maoni yao napenda mijadara kama hii najifunza kitu upitia nyinyi

Asante
 
Ni kweli 100% Ili uwe penetrater mnzuri Cha kwanza inabid ujue hiyo system inafanyaje kazi ukishajua ndipo utakapoweza kujua udhaifu uko wapi kwa uzoefu wangu hakuna hacker anayejua kudukua kila kitu hii ni kutokana na IT kuwa uwanja mpana sanaaa zaidi ya watu wengi wanabyofikiria isipokuwa kila mmoja ame specialize eneo lake

mfano Kuna mtu anajua social engineering vizuri mwingine web anajua in and out

Au unakuta anajua kufanya forensic ya network tu au computer forensics hapa mtu anajua kuchambua aina zote za file system unazojua wew na jinsi zinavyofanya kazi mambo mengi aisee

bongo benki zinapigwa Hili swala linajulikana Ila isipokuwa hawatangazi kwa sababu wanaweza kupoteza wateja ndio maana ukiangalia hizi big company commercial and non commercial wanatumia third-party security system mfano akina sophos, Fortnite, force point e.t.c

Tusiwe na tabia ya kudharau vya kwetu IT bongo wapo Tena wazuri sanaa
Upo nyema sana mkuu
 
Hii ni kwa upande wa Beginners
Fundamental of Hacking.
System and Networks.
Info gather, Analysis and Manipulation.
Variety device Hacking.
Password cracking in platforms.
Pentest.
 
Back
Top Bottom