Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

Hawa wanaosema wanaweza kufanya kwa mteja akasikiliza simu WhatsApp call, kupata sms etc za mtu mwingine... Hii Ni kweli??
 
Bado una uanafunzi. Ukisha mature utakuja futa hizi comment zako. Unaelekezwa alafu unajifanya mjuaji. Wewe unajua watanzia wote au unafanya kazi sector zote ? Acha ujuaji jifunze kwa wengine.. we umeona Mitnick tu ? Kawasome wengine kichwa ifunguke hiyoo
Kaka umechafukwa nyongo😂😂 CCNP wa mchongo mimi nilieamua kuvamia Cyber sec kama Analyst ila nilikutana na diversity ya knowledge base niliyoambiwa niwe nayo nikaona ulofa huu.

Twende kwenye uzi wetu wa mishangazi kule
 
Katika maisha tafuta waliofanikiwa na kujifunza kutoka kwao. Na suijizibie fursa kwa dharau au kuhisi unajua kila kitu
 
Wanadakwa kimya kimya mzee acha kabisa nimeshuhudia hii issue jamaa alipenetrate kwenye system ya bank moja hapa nchini inayoanza na herufi N before aliwahi kuingilia mifumo ya mtandao wa simu giant tu hapa TZ na siku hiyo mifumo ya huo mtandao ilisumbua masaa kadhaa na hakuna aliejua zaidi ya tuliokua tunamjua anayoyafanyaga na hakutangazwa kwenye vyombo ya habari afu ni janki tu hivi huwezi kumdhania kabisa... Alidakwa mwezi wa 3 baada ya hilo jaribio la kuvuta mpunga kwa illegal way kwenye hiyo bank sijajua kesi ake imeishia wapi mpaka sasa! Acha kuwachukulia wabongo in general man kuna vijana wanauwezo sema tu niseme sijui huwa wanafanya hacking kwa uoga au nini kinawaponza hata sielewagi...
Hii ishu mwenyewe naijua..... Tena alikuwa ameshakomba mpunga wa kutosha
 
Kaka umechafukwa nyongo😂😂 CCNP wa mchongo mimi nilieamua kuvamia Cyber sec kama Analyst ila nilikutana na diversity ya knowledge base niliyoambiwa niwe nayo nikaona ulofa huu.

Twende kwenye uzi wetu wa mishangazi kule
Unafki mbaya sana, ona aibu amalume. Sasa ulipataje scholarship ya kwenda ulipoenda na kisha kusomeshwa na taasisi nyeti ?
 
Back
Top Bottom