Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe, yani unaweza kudhani hiki chuma kinaweza kutungua system nzima ya jf. 😂😂
View attachment 2644904
Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri
Wanaishia tu kujitamba kuinstall termux kwenye simu.
wanaishia kututambia wao hawatumii windows wanatumia kali linux
misamiati na maneno technical imewajaa midomoni ila vitendo 0, utasikia sql injection, ddos, man in the middle attack, n.k.
wana download software za kuhack ila hawajui kuzitumia, ni za kuchimbia mkwara tu kwamba anazo, anaifungua tu anaperuzi peruzi huku anatupia misamiati, utaskia "hapa nikiamua kutungua system ya benki ni dakika tu, hii tool ina sql injection"
Mafanikio yao wengi huwa ni kutumia internet kwa free vpn, yani hapo atajiona ni mwamba na nusu.