National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
wanachosema kinawezekana, ila wao wanaotangaza hivyo ni wahuniSasa hapa umejibu kipi Mkuu 😁😇??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanachosema kinawezekana, ila wao wanaotangaza hivyo ni wahuniSasa hapa umejibu kipi Mkuu 😁😇??
Si kakamatwa umesema?Sasa mimi ndo nasimamia kesi yake nawe jamaa vipi? [emoji23][emoji23] au unataka tu tujue nawewe una connections huko usalama au una mshkaji huko TISS
Kuhack SIMS na OSIMS ni kazi ya kitoto hata first year wa IT akiwa vizuri anaweza. Mifumo ya vyuo ni mibovu kwa kila kitu kuanzia kupakia matokeo, usajili, rekodi za mitihani na ufaulu, briefings na kila kitu.Kuna wale wanafunzi wa chuo huko iringa wali hack system ya malipo ya ada chuoni kwao,so hackers wapo
Hawa wapo chuo bado wanaishi na story za vijiweniSi kakamatwa umesema?
Sasa TISS inahusika nini na ushubwada unaotajwa hapa, unaambiwa timu fulani haina washambuliaji wazuri unaanza kusema kuna mmoja mfungaji bora sema sitaji jina lake sasa si unaonyesha upungufu wa akili.
Mhusika unayemsema kakamatwa hivyo humuweki hatarini kumtaja, umedai mlikuwa mnamjua wachache kitu anachofanya that means huwezi tambulika ukimtaja. Sasa TISS inahusikaje kwenye maelezo yako? Huu uelewa uliopo hapa ndio OP anadai hamna hacker, communication skills za kawaida hamna sembuse IQ na discipline ya kuwa hacker
Kuna sehemu nmedai mimi ni hacker au nilikua mmoja wapo au na wewe unawashwa tu ili uonekane unajua kutoa comments za maana hapa? Kama huamini nilichokiandika huwezi kunilazimisha nikuaminishe mzee... Siko hapa kusimulia hadithi au maisha ya mtu sorry kwa hilo am not a good narrator.Si kakamatwa umesema?
Sasa TISS inahusika nini na ushubwada unaotajwa hapa, unaambiwa timu fulani haina washambuliaji wazuri unaanza kusema kuna mmoja mfungaji bora sema sitaji jina lake sasa si unaonyesha upungufu wa akili.
Mhusika unayemsema kakamatwa hivyo humuweki hatarini kumtaja, umedai mlikuwa mnamjua wachache kitu anachofanya that means huwezi tambulika ukimtaja. Sasa TISS inahusikaje kwenye maelezo yako? Huu uelewa uliopo hapa ndio OP anadai hamna hacker, communication skills za kawaida hamna sembuse IQ na discipline ya kuwa hacker
Nope! Mimi sio hacker wala sina jeuri ya kujiita ivo wala sisomi chuo, nina kila sababu ya kuhide anacholazimisha mdau hapo juu nikiweke wazi kwani alikwisha wahi nifanikishia mchongo wangu flani ulkua ni too risk ye ndo alinipa starting point ndo mwanzo wa kumjua zaidi, sema sina sababu ya zaidi ya kuelezea..Hawa wapo chuo bado wanaishi na story za vijiweni
Napenda kuwavuruga wakulungwa.Katika maisha tafuta waliofanikiwa na kujifunza kutoka kwao. Na suijizibie fursa kwa dharau au kuhisi unajua kila kitu
Jomba unazuga hujui kitu wakati nakuonaga kwenye mizozo ya A.IJoe Navarro we si una play books za Mitnick dondosha tuseleleke na madini boya weee
Makampuni mengi kila siku yanakuwa hacked huwa hawatangazi, hasa Africa hususani Tanzania.Wanadakwa kimya kimya mzee acha kabisa nimeshuhudia hii issue jamaa alipenetrate kwenye system ya bank moja hapa nchini inayoanza na herufi N before aliwahi kuingilia mifumo ya mtandao wa simu giant tu hapa TZ na siku hiyo mifumo ya huo mtandao ilisumbua masaa kadhaa na hakuna aliejua zaidi ya tuliokua tunamjua anayoyafanyaga na hakutangazwa kwenye vyombo ya habari afu ni janki tu hivi huwezi kumdhania kabisa... Alidakwa mwezi wa 3 baada ya hilo jaribio la kuvuta mpunga kwa illegal way kwenye hiyo bank sijajua kesi ake imeishia wapi mpaka sasa! Acha kuwachukulia wabongo in general man kuna vijana wanauwezo sema tu niseme sijui huwa wanafanya hacking kwa uoga au nini kinawaponza hata sielewagi...
si wanasema ukihack unaweza kupata helaMbona kama una ugomvi nao? Mi ninachojua mtu anafocus kwenye kitu kinachompa hela.
Huo ni ujambazi sasa sidhan kama inafaa kuuentartain kwa namna yeyote ile!si wanasema ukihack unaweza kupata hela
watakuroga😅Napenda kuwavuruga wakulungwa.
Hauhitaji computer yenye specifications kubwaaa ili kuwa hacker. Unaweza uka na ki pc chako simple tu na ukafanya jamboUchumi pia unachangia kama laptop ya tensorbook nzuri sana kwa hackers,machine learning engineers,AI expert n.k,
RAM:32 GB
STORAGE:1TB SSD
GPU:NVIDIA RTX 3070 Ti
CPU:Intel core i7-12800H
VRAM:8 GB GDDR6
unapata kuanzia $3500