Nadhalia ya watu wengi wanaposikia Hacker wanajua kwamba sehemu yeyote inatumia technology basi unaweza kuhack ila wasichojua ni kwamba kuna njiaa nyingi zinazotumika kwenye hacking
Mfano. Unataka kuni Hack kwenye account yangu ya Jf hapa itakubidi ujue mfumo mzma wa Jf unavyo fanya kazi na account zote zina ifadhiwa vipi taharifa muhimu kwa users wote server zao zinavyo fanya kazi kwa ujumla kisha utaanza kutafuta madhaifu yapo wapi kisha kisha utafanya jambo unalotaka kulifanya.
Mimi naamini hapa Bongo hackers wapo wengi tu ila ni ngumu kuwajua coz taharifa zao wataki ziwe adharani coz kuna mambo kadha yatawabana kama mambo ya kishelia na siwezi kumziaki mtu kama ajui kitu furani.
Mimi kwa mtazamo wangu inabidi tuwasikilize wote hackers na sio hackers tupate maoni yao napenda mijadara kama hii najifunza kitu upitia nyiny