Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.

Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa 😠

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
1687460055916.jpg
 
Tanzania ni mkusanyiko wa malimbukeni watu wanao kosa exposure wajinga wajinga.....hilo lilikua sio jambo kubwa kiasi cha kutredi social media. Hi elimu yetu imezalisha raia wa hovyo sana, hata na shangaa sana kuona raia washamba.
 
Usikariri maisha Mkuu mambo yenyewe ni mengi na yanatushinda Wacha tupate break kidogo....don't be toooo serious in life utateseka sana[emoji13][emoji13]muda mwengine unajiachia vimizaha kidogo userious kidogo life linasonga...
 
Usikariri maisha Mkuu mambo yenyewe ni mengi na yanatushinda Wacha tupate break kidogo....don't be toooo serious in life utateseka sana[emoji13][emoji13]muda mwengine unajiachia vimizaha kidogo userious kidogo life linasonga...
Sawa kiongozi, mi nimesikitika tu hadi status kufurika hio habari na vi-memes kibao....kana kwamba ni kitu cha ajabu sanaa
 
Tanzania ni mkusanyiko wa malimbukeni watu wanao kosa exposure wajinga wajinga.....hilo lilikua sio jambo kubwa kuasi cha kutredi social media.
Hili linajulikana la ulimbukeni kwa jamii yetu... Fanya tu survey hata kwa marafiki au jamaa wanaotuzunguka.. umaskini wa kifikra+damaged mental health= a failed society
 
Bro hiyo ni kazi ya kile kitengo wala usiumize kichwa. Wanataka kupotezea watu waache kujadili kuhusu ishu ya bandari imewakalia vibaya.
Kitengo kina mbinu nyingi ku-divert, raia watanzania ndo the cheapest pple to be managed/manipulate ni wepesi sana kuwatoa kwenye mada, kitengo hakitumii nguvu nyingi kabisa.

Mbinu nyingi za kuwapoteza hawa semi literate na iliterate raia ebu ni kupe mfano, sasa hivi watangaze kwamba Yanga sports ananyanganwya ubingwa kwa kukiuka canuni za TFF hata kama ni hoax, hamna atakae jadili bandari tena hapa.
 
Back
Top Bottom