Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Nimekwambia kitengo wanafanya Kaz kuendana na mazingira ya matukio. Hili la wanafunz limetokea katikat ya inshu ya bandari na wakapita nalo ili kuwatoa watu kwenye mjadala.

Nimekuuliza kwahiyo mjadala wa bandari umeisha baada ya hao wanafunzi?

Sijui nani mjinga zaidi hao kitengo au nyie mnaoamini huu utopolo.
 
Nimekuuliza kwahiyo mjadala wa bandari umeisha baada ya hao wanafunzi?

Sijui nani mjinga zaidi hao kitengo au nyie mnaoamini huu utopolo.
Wanaonielewa washaelewa Chief we baki na maon yako
 
Salim Kikeke,Diamond,Edo kumwembe and 10k other wapumbavu.
wewe ndio mpumbav usieelewa mamb yanaendeshwa vip..hao watu wapo kazin na wanalipwa Hela za kutosha..nyie wadanganyika ndio mnaochezewa faulo..hapo issues ni bandar musaau Maisha yaendelee..
 
Sudan 🇸🇩 1 v 0 rwanda 🇷🇼

Somalia 🇸🇴 1 v 0 Ethiopia 🇪🇹
 
yani mtoa uzi anasahau kwamba hoja na masihara ya namna hii ni kufifisha suala la DP world , na kwamba nchi hii vitu SERIOUS watu hawana muda navyo?
 
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.

Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa [emoji34]

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Ni utani na comedy tu. Nchi hii ukiwa serious muda wote na mambo ya "DP World ama"Bunge" dhaifu unaweza kufa kwa stress!!
 
Hivi mfalme wa Dubai anajua kwamba tumekaribisha watu toka Sudan au tumewaleta tu bila ridhaa ya mkuu wa nchi ya Dubai?
 
Back
Top Bottom