Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Walewale ππWale wa kike ni wazuri (pisi kali), pepo la kuoa limeanza kunijia
Nimeshangaa pia na kusikitika sanaTanzania ni mkusanyiko wa malimbukeni watu wanao kosa exposure wajinga wajinga.....hilo lilikua sio jambo kubwa kuasi cha kutredi social media.
Sawa kiongozi, mi nimesikitika tu hadi status kufurika hio habari na vi-memes kibao....kana kwamba ni kitu cha ajabu sanaaUsikariri maisha Mkuu mambo yenyewe ni mengi na yanatushinda Wacha tupate break kidogo....don't be toooo serious in life utateseka sana[emoji13][emoji13]muda mwengine unajiachia vimizaha kidogo userious kidogo life linasonga...
Hili linajulikana la ulimbukeni kwa jamii yetu... Fanya tu survey hata kwa marafiki au jamaa wanaotuzunguka.. umaskini wa kifikra+damaged mental health= a failed societyTanzania ni mkusanyiko wa malimbukeni watu wanao kosa exposure wajinga wajinga.....hilo lilikua sio jambo kubwa kuasi cha kutredi social media.
Hizi ni za ku mute......we imagine mtu kama salim kikeke na yeye eti anashabikia pia πHata mimi status nyingi za watu siku hizi naona Muhimbili tu inatrend..
This is too muchTatizo kila kitu mnachukulia serious
Tungesimamisha kwanza mjadala wa dipii wolidiπππ,,, halafu sio nyieeee mliokua mnashadadia marobot ya Elon saiz mshabadili mawazo πππThis is too much
150 students imekuwa agenda. Je wangekuja 1M?
[emoji109]umeona mbali mkuu na imebumaBro hiyo ni kazi ya kile kitengo wala usiumize kichwa. Wanataka kupotezea watu waache kujadili kuhusu ishu ya bandari imewakalia vibaya.
Ishu si urembo, ni warembo mpaka wazuri tena na unaweza Kuta wengi Bado bikra!Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan...
Ila sio kwa ushamba huoDON'T TAKE LIFE TOO SERIOUS ITS NOT PERMANENT
Kitengo kina mbinu nyingi ku-divert, raia watanzania ndo the cheapest pple to be managed/manipulate ni wepesi sana kuwatoa kwenye mada, kitengo hakitumii nguvu nyingi kabisa.Bro hiyo ni kazi ya kile kitengo wala usiumize kichwa. Wanataka kupotezea watu waache kujadili kuhusu ishu ya bandari imewakalia vibaya.