CCM haiwezi kukunja mikono kuona Mabinti wazalendo, wasikivu, wanaojiheshimu wakidhalilishwa kijinsia na Mijanaume iliyoshindwa uchaguzi wa 2020
CCM wanajimaliza wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wanajimaliza wenyewe.
Swali lako ni zuri ila ni vema ukamuuliza hangayaKwani ni lazima awe na maridhiano na CDM? vyama si viko vingi tu[emoji3] CDM mnajiona wa pekee sana???
Juzi mlisema hawawezi kufukuzwa , leo wanadhalilishwa ! Njaa mbaya sana !CCM haiwezi kukunja mikono kuona Mabinti wazalendo, wasikivu, wanaojiheshimu wakidhalilishwa kijinsia na Mijanaume iliyoshindwa uchaguzi wa 2020
Muulize Samia upekee wetu anaujua,ivyo vyama vingine anajua ni pandikizi lao...ndege ulienae bandani hauitaji kumuwindaKwani ni lazima awe na maridhiano na CDM? vyama si viko vingi tu😀 CDM mnajiona wa pekee sana???
Sasa ofisi ya spika inahusika vipi?Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo.
Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi, ambapo wataitaka mahakama ipitie upya hatua zote za CHADEMA zilizotumika kuwavua uanachama kama zilifuata kanuni na taratibu za katiba ya CHADEMA.
Kesi ya pili ni kuweka zuio la mahakama ili kutaka uamuzi wa kuvuliwa uanachama usitekelezwe popote kwanza, ili kupisha shauri la msingi kusikilizwa kwanza.
Tayari vigogo kadhaa wa CCM kisiri wanahusishwa katika kutoa miongozo na kufanikisha mkakati huo. Ofisi ya spika wa bunge nayo inatajwa kuwa inahusika katika kuratibu zoezi hili, na inategemewa kuwa jumatatu ijayo Spika atazungumza bungeni kubariki wabunge wa covid 19 kuendelea kukaa bungeni kwa mtindo wa kuchelewesha (delay tactic). Kauli kama hii inategemewa kutolewa na Spika, "tayari nimepokea barua rasmi kutoka CHADEMA lakini kuna mambo kadhaa yanamchanganyiko hivyo ningehitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuchukua uamuzi, hivyo nitamwandikia barua katibu mkuu wa CHADEMA ili kuomba ufafanuzi wa barua yake na baada ya hapo ofisi ya spika itakaa upya ili kupitia maudhui ya barua hiyo na kuamua, hivyo basi wabunge wale 19 wataendelea kuwepo bungeni"
Habari za ndani ya Chadema zinasema kuwa uongozi wa chama hicho unazo hizo habari na mawakili wa Chama hicho wako tayari standby wakati wowote kukabiliana na kesi hizo mara tu zitakapofunguliwa.
huyu betina sipendi hata kumuangalia hamna kitu amebebwa na jiwe hadi hapo alipo halafu anajiona matawi sana wakati ni kirusi tuTULIA ACKSON ANADHALILISHA SANA UKRISTO, ULOKOLE WAKE PAMOJA NA KANISA LAKE LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ( T.A.G).
ANAMINYA HAKI BILA AIBU NA KANISANI ANAPEWA SITI YA MBELE.
Wewe ulichelewa wapi kuwa mwanamke? Nafasi ingekuwa yako hiyo ya kuimaliza CHADEMACHADEMA wanamalizwa na Dkt Mukya!
Umuhimu ni utaratibu kufuatwa kama ulikiukwa.Kesi za JUDICIAL REVIEW sijawahi kuziona umuhimu wake, iwe CERTIORARY,MANDAMUS au PROHIBITION zinarudishwa kwenye body au taasisi zilezile zilizosikiliza
Hakuna Mwanaccm Mcha MunguTULIA ACKSON ANADHALILISHA SANA UKRISTO, ULOKOLE WAKE PAMOJA NA KANISA LAKE LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ( T.A.G).
ANAMINYA HAKI BILA AIBU NA KANISANI ANAPEWA SITI YA MBELE.
Labda wanaona kwa sababu wapo kwenye msukumo wa watawala basi sheria kwao si kitu.Ni mwendawazimu pekee ambaye anaweza kwenda mahakamani kwaajili ya kugomea kufukuzwa au kusimamishwa uwanachama wa chama cha siasa.
Hakuna mahakama ambayo ina uwezo wa kumrudishia mtu uwanachama. Mamlaka za juu kabisa za uamuzi juu ya uwanachama huwa zipo ndani ya chama husika, siyo mahakamani.
Yani mke kapata bwana mpya umemfumania, umeamua mfukuza kwa kumwandikia taraka, mke karudi kwa bwana uliyemfumania naye ili waishi wote wewe bado unachukia wakati talaka ushatoa na umewambia ndugu na jamaa na jamii jamani yule si mke wangu jamii umesikiaTayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo.
Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi, ambapo wataitaka mahakama ipitie upya hatua zote za CHADEMA zilizotumika kuwavua uanachama kama zilifuata kanuni na taratibu za katiba ya CHADEMA.
Kesi ya pili ni kuweka zuio la mahakama ili kutaka uamuzi wa kuvuliwa uanachama usitekelezwe popote kwanza, ili kupisha shauri la msingi kusikilizwa kwanza.
Tayari vigogo kadhaa wa CCM kisiri wanahusishwa katika kutoa miongozo na kufanikisha mkakati huo. Ofisi ya spika wa bunge nayo inatajwa kuwa inahusika katika kuratibu zoezi hili, na inategemewa kuwa jumatatu ijayo Spika atazungumza bungeni kubariki wabunge wa covid 19 kuendelea kukaa bungeni kwa mtindo wa kuchelewesha (delay tactic). Kauli kama hii inategemewa kutolewa na Spika, "tayari nimepokea barua rasmi kutoka CHADEMA lakini kuna mambo kadhaa yanamchanganyiko hivyo ningehitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuchukua uamuzi, hivyo nitamwandikia barua katibu mkuu wa CHADEMA ili kuomba ufafanuzi wa barua yake na baada ya hapo ofisi ya spika itakaa upya ili kupitia maudhui ya barua hiyo na kuamua, hivyo basi wabunge wale 19 wataendelea kuwepo bungeni"
Habari za ndani ya Chadema zinasema kuwa uongozi wa chama hicho unazo hizo habari na mawakili wa Chama hicho wako tayari standby wakati wowote kukabiliana na kesi hizo mara tu zitakapofunguliwa.
Huu ni "ujambazi" tu unaofanywa mchana kweupe, kuendelea kuwaibia waTanzania kodi zao.Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo.
Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi, ambapo wataitaka mahakama ipitie upya hatua zote za CHADEMA zilizotumika kuwavua uanachama kama zilifuata kanuni na taratibu za katiba ya CHADEMA.
Kesi ya pili ni kuweka zuio la mahakama ili kutaka uamuzi wa kuvuliwa uanachama usitekelezwe popote kwanza, ili kupisha shauri la msingi kusikilizwa kwanza.
Duh.. Kauli kama hii inategemewa kutolewa na Spika, "tayari nimepokea barua rasmi kutoka CHADEMA lakini kuna mambo kadhaa yanamchanganyiko hivyo ningehitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuchukua uamuzi, hivyo nitamwandikia barua katibu mkuu wa CHADEMA ili kuomba ufafanuzi wa barua yake na baada ya hapo ofisi ya spika itakaa upya ili kupitia maudhui ya barua hiyo na kuamua, hivyo basi wabunge wale 19 wataendelea kuwepo bungeni"
Endelea na mawazo yaki mgando wakati wenzio wanachanja MBUGACCM wanajimaliza wenyewe.