Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Ungekuwa una upungufu wa damu ungeongezewa LAKINI una upungufu wa akili hakuna jinsi, utakaa hivyohivyo hadi mauti yako!
Na hawa ndio wale wanaokuwa na historia fupi sana wakati wa mazishi; "marehemu alizaliwa akabatizwa, akajiunga ccm, akaishi kijinga na mwisho amekufa. Bwana alitoa na bwana kamuondoa. Amina"
 
Yani mke kapata bwana mpya umemfumania, umeamua mfukuza kwa kumwandikia taraka, mke karudi kwa bwana uliyemfumania naye ili waishi wote wewe bado unachukia wakati talaka ushatoa na umewambia ndugu na jamaa na jamii jamani yule si mke wangu jamii umesikia

MY TAKE
Tulia akae na bwana mpya kama umalaya ni tabia yake atachepuka tena usilazimishe bwana mpya amkatae wakati yet ndio kamtoa kwako acha amstili
Mfano wako haujashirikisha ubongo vema, ikiwa ameachika na mume kwa talaka kwanini mamlaka zingne zinkataa hiyo talaka kutambulika?
 
Mfano wako haujashirikisha ubongo vema, ikiwa ameachika na mume kwa talaka kwanini mamlaka zingne zinkataa hiyo talaka kutambulika?
Tatizo DJ ashawageuza watu wake vilaza hivi unafikilia DJ ajui mchongo haya kaa hivyo hivyo
 
Kwani ni lazima awe na maridhiano na CDM? vyama si viko vingi tu😀 CDM mnajiona wa pekee sana???
Tz kuna vyama viwili CCM na Chadema.

TLP, UDP, ACT, SAU nk hivi navyo ni vyama au ni vikundi vya watu wachache ambao hata hawajulikani wana agenda zipi.
 
kwahiyo mahakama ina uwezo wa kumrudishia mtu uanachama ambaye amefukuzwa na chama chake?

Karibu mwanasheria P.
Uanachama wa chama cha siasa, kukuunga ni kwa mujibu wa katiba, sheria taratibu na kanuni, mtu akifukuzwa pia ni vivyo hivyo.

Mtu akifukuzwa uanachama, mahakama hauwezi kuzuia kufukuzwa bali ikijiridhisha kuwa katiba, sheria taratibu na kanuni hazijufuatwa, mahakama inatoa amri ya kuitaka Chadema kuwafukuza kwa kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni ili ufukuzaji huo uwe halali.

Hivyo wataendelea kuhesabika ni wanachama halali wa Chadema na kuendelea na ubunge wao hadi ama Chadema wafanye the right thing, au hadi mwisho wa uhai wa Bunge hili.

P.
 
..Chadema wanadai hawakutuma listi ya wabunge wa viti maalum.

..Na hiyo ndio sababu iliyopelekea wawafute uanachama kwa kosa la kujipeleka bungeni bila ridhaa ya chama chao.

Hakuna kitu kama hicho chief,haiwezekani kabsaa waende akina Halima mdee tu kuapishwa kwani Hakuna wengine kwenye chama wenye sifa ya kuwa vitu maalum,na ukumbuke Mbowe kasema alimlea mdee toka chuoni hadi chadema kamkuza yeye kisiasa leo hii Halima ana usalit gani wa kumtenda mzee Mbowe ambaye ni kama mzazi wake?
 
..vikao vya chama vimekataa wasiende bungeni.

..kama wao ni wanachadema walipaswa kukubaliana na kauli ya wengi.

..wote mnajua kwamba maamuzi ya vyama vya siasa huamuliwa ktk vikao kwa kupiga kura.
 
..vikao vya chama vimekataa wasiende bungeni.

..kama wao ni wanachadema walipaswa kukubaliana na kauli ya wengi.

..wote mnajua kwamba maamuzi ya vyama vya siasa huamuliwa ktk vikao kwa kupiga kura.

Huwezi kukaaa ukafa njaa kwa kusikiliza ujinga wa watu kama akina Heche na myika,Myika mbona yeye aliuza jimbo kwa 500mln kabla ya kuwa mbunge wa kibamba.....Chama kina njaa na wale ni wanawake waachie Viti maaalumu wakadange?,walipewa baraka zote na kigogo wa kwenye chama Chenu....mtafuteni huyo mtu kwa non alisaini na kutoa haraka akina Mdee kwenda Bungeni,Mbowe sio fala
 
..maamuzi ya chama hufanywa na vikao.

..wao walitakiwa wawashawishi wajumbe wa kamati kuu au baraza kuu wawaruhusu kwenda bungeni.
 
Hakuna kitu kama hicho chief,haiwezekani kabsaa waende akina Halima mdee tu kuapishwa kwani Hakuna wengine kwenye chama wenye sifa ya kuwa vitu maalum,na ukumbuke Mbowe kasema alimlea mdee toka chuoni hadi chadema kamkuza yeye kisiasa leo hii Halima ana usalit gani wa kumtenda mzee Mbowe ambaye ni kama mzazi wake?
Wakati mwingine napata mashaka na aina hii ya uchangiaji. Hivi huwezi kujiuliza kama Chadema inawezaje kumteua mbunge viti maalumu akiwa jela na kwenda kumtoa usiku wa manane ili kesho yake akaapishwe kwenye banda la magari? Hayo magereza yanamilikiwa na Chadema? Kutoliona hili kwa uwazi ni kujivisha ujinga tuu
 
Nikuuulize ww kwani huyo aliyetolewa Gerezani usku kulikuwa kuna ulazima gani wa yeye kukubali kutoka na kwenda kuapishwa kama hakuombwa na mtu muhimu kutoka huko chademani?,Au chadema mzima huyo ndo alikuwa na akili kuliko BAWACHA waliobaki baada ya akina Mdee kukubali?
 
..maamuzi ya chama hufanywa na vikao.

..wao walitakiwa wawashawishi wajumbe wa kamati kuu au baraza kuu wawaruhusu kwenda bungeni.

Kwa hiyo akina Mdee walijiteua wenyewe,barua iliyopelekwa NEC haikuwa na sahihi wala muhuri wa Chama,na je kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa teua wao tu kwani wengine hawapo,mana wao walisusia uchaguzi?
 
..kwa tabia za utawala wa awamu ya 5 inawezekana kabisa wakina Halima " waliteuliwa " kutokana na " amri kutoka juu. "
 
Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo.

Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi, ambapo wataitaka mahakama ipitie upya hatua zote za CHADEMA zilizotumika kuwavua uanachama kama zilifuata kanuni na taratibu za katiba ya CHADEMA.

Kesi ya pili ni kuweka zuio la mahakama ili kutaka uamuzi wa kuvuliwa uanachama usitekelezwe popote kwanza, ili kupisha shauri la msingi kusikilizwa kwanza.

Tayari vigogo kadhaa wa CCM kisiri wanahusishwa katika kutoa miongozo na kufanikisha mkakati huo. Ofisi ya spika wa bunge nayo inatajwa kuwa inahusika katika kuratibu zoezi hili, na inategemewa kuwa jumatatu ijayo Spika atazungumza bungeni kubariki wabunge wa covid 19 kuendelea kukaa bungeni kwa mtindo wa kuchelewesha (delay tactic). Kauli kama hii inategemewa kutolewa na Spika, "tayari nimepokea barua rasmi kutoka CHADEMA lakini kuna mambo kadhaa yanamchanganyiko hivyo ningehitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuchukua uamuzi, hivyo nitamwandikia barua katibu mkuu wa CHADEMA ili kuomba ufafanuzi wa barua yake na baada ya hapo ofisi ya spika itakaa upya ili kupitia maudhui ya barua hiyo na kuamua, hivyo basi wabunge wale 19 wataendelea kuwepo bungeni"

Habari za ndani ya Chadema zinasema kuwa uongozi wa chama hicho unazo hizo habari na mawakili wa Chama hicho wako tayari standby wakati wowote kukabiliana na kesi hizo mara tu zitakapofunguliwa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Uanachama wa chama cha siasa, kukuunga ni kwa mujibu wa katiba, sheria taratibu na kanuni, mtu akifukuzwa pia ni vivyo hivyo.

Mtu akifukuzwa uanachama, mahakama hauwezi kuzuia kufukuzwa bali ikijiridhisha kuwa katiba, sheria taratibu na kanuni hazijufuatwa, mahakama inatoa amri ya kuitaka Chadema kuwafukuza kwa kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni ili ufukuzaji huo uwe halali.

Hivyo wataendelea kuhesabika ni wanachama halali wa Chadema na kuendelea na ubunge wao hadi ama Chadema wafanye the right thing, au hadi mwisho wa uhai wa Bunge hili.

P.
Unasemaje Pascal Mayalla?
 
Mkuu Babu Ochu, sina jipya lolote la kusema, kwenye issue hii, I think I have said almost everything
  1. Kina Mdee hawakujiteua waliteuliwa ila sio na kikao halali cha uteuzi bali kiongozi wa juu wa Chadema
  2. Barua yao ya uteuzi kutoka Chadema kwenda NEC ni barua authentic bonafide genuine, hivyo hakuna forgery yoyote iliyofanyika.
  3. Kikao cha Kamati Kuu kilichoitishwa sio kikao halali, hivyo kilikaa kama a Kangaroo Court
  4. CC ya Chadema ni mamlaka halali ya nidhamu kwa wabunge ila katiba sheria taratibu na kanuni hazikufuatwa hivyo uamuzi wake ni uamuzi Kikangaroo.
  5. CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya Halima Mdee, hivyo ina uwezo wa kumsimamisha tuu lakini haina uwezo wala mamlaka kumfukuza, sasa hiyo CC ya Chadema, ilipata wapi mamlaka kumtimua Mdee?, ni Ukangaroo tuu huo.
  6. Kikao cha Baraza Kuu ni mamlaka halali ya rufaa ya wabunge na kiliitishwa kihalali, ila kitendo cha kuridhia uamuzi wa kikao batili na ile hukumu ya Kikangroo, kumepelekea maamuzi ya Baraza Kuu nayo kuwa ni ya Kikangroo as well.
  7. baada ya kukosa haki ndani ya chama, they were left no options but kutafuta haki mahakamani, huku wanaelewa wakishindwa that would be a suicide, the end of the road, the grand finale, final and conclusive.
  8. Jana ndio kesi imetupwa for legal technicalities and not points of law
  9. Wakirekebisha na kuendelea, then the game is on again and it's not over until it's over.
  10. Wakikubali matokeo, then this will be the end of the road for them na sasa hapo Mzee karma anapoanzia.
P
 
Back
Top Bottom