Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2020 kilikuwa na nini....CCM haiwezi kukunja mikono kuona Mabinti wazalendo, wasikivu, wanaojiheshimu wakidhalilishwa kijinsia na Mijanaume iliyoshindwa uchaguzi wa 2020
Na hawa ndio wale wanaokuwa na historia fupi sana wakati wa mazishi; "marehemu alizaliwa akabatizwa, akajiunga ccm, akaishi kijinga na mwisho amekufa. Bwana alitoa na bwana kamuondoa. Amina"Ungekuwa una upungufu wa damu ungeongezewa LAKINI una upungufu wa akili hakuna jinsi, utakaa hivyohivyo hadi mauti yako!
Mfano wako haujashirikisha ubongo vema, ikiwa ameachika na mume kwa talaka kwanini mamlaka zingne zinkataa hiyo talaka kutambulika?Yani mke kapata bwana mpya umemfumania, umeamua mfukuza kwa kumwandikia taraka, mke karudi kwa bwana uliyemfumania naye ili waishi wote wewe bado unachukia wakati talaka ushatoa na umewambia ndugu na jamaa na jamii jamani yule si mke wangu jamii umesikia
MY TAKE
Tulia akae na bwana mpya kama umalaya ni tabia yake atachepuka tena usilazimishe bwana mpya amkatae wakati yet ndio kamtoa kwako acha amstili
Tatizo DJ ashawageuza watu wake vilaza hivi unafikilia DJ ajui mchongo haya kaa hivyo hivyoMfano wako haujashirikisha ubongo vema, ikiwa ameachika na mume kwa talaka kwanini mamlaka zingne zinkataa hiyo talaka kutambulika?
kwahiyo mahakama ina uwezo wa kumrudishia mtu uanachama ambaye amefukuzwa na chama chake?Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Tz kuna vyama viwili CCM na Chadema.Kwani ni lazima awe na maridhiano na CDM? vyama si viko vingi tu😀 CDM mnajiona wa pekee sana???
Uanachama wa chama cha siasa, kukuunga ni kwa mujibu wa katiba, sheria taratibu na kanuni, mtu akifukuzwa pia ni vivyo hivyo.kwahiyo mahakama ina uwezo wa kumrudishia mtu uanachama ambaye amefukuzwa na chama chake?
Karibu mwanasheria P.
..Chadema wanadai hawakutuma listi ya wabunge wa viti maalum.
..Na hiyo ndio sababu iliyopelekea wawafute uanachama kwa kosa la kujipeleka bungeni bila ridhaa ya chama chao.
Hakuna kitu kama hicho chief,haiwezekani kabsaa waende akina Halima mdee tu kuapishwa kwani Hakuna wengine kwenye chama wenye sifa ya kuwa vitu maalum,na ukumbuke Mbowe kasema alimlea mdee toka chuoni hadi chadema kamkuza yeye kisiasa leo hii Halima ana usalit gani wa kumtenda mzee Mbowe ambaye ni kama mzazi wake?
..vikao vya chama vimekataa wasiende bungeni.
..kama wao ni wanachadema walipaswa kukubaliana na kauli ya wengi.
..wote mnajua kwamba maamuzi ya vyama vya siasa huamuliwa ktk vikao kwa kupiga kura.
Huwezi kukaaa ukafa njaa kwa kusikiliza ujinga wa watu kama akina Heche na myika,Myika mbona yeye aliuza jimbo kwa 500mln kabla ya kuwa mbunge wa kibamba.....Chama kina njaa na wale ni wanawake waachie Viti maaalumu wakadange?,walipewa baraka zote na kigogo wa kwenye chama Chenu....mtafuteni huyo mtu kwa non alisaini na kutoa haraka akina Mdee kwenda Bungeni,Mbowe sio fala
Wakati mwingine napata mashaka na aina hii ya uchangiaji. Hivi huwezi kujiuliza kama Chadema inawezaje kumteua mbunge viti maalumu akiwa jela na kwenda kumtoa usiku wa manane ili kesho yake akaapishwe kwenye banda la magari? Hayo magereza yanamilikiwa na Chadema? Kutoliona hili kwa uwazi ni kujivisha ujinga tuuHakuna kitu kama hicho chief,haiwezekani kabsaa waende akina Halima mdee tu kuapishwa kwani Hakuna wengine kwenye chama wenye sifa ya kuwa vitu maalum,na ukumbuke Mbowe kasema alimlea mdee toka chuoni hadi chadema kamkuza yeye kisiasa leo hii Halima ana usalit gani wa kumtenda mzee Mbowe ambaye ni kama mzazi wake?
Wakati mwingine napata mashaka na aina hii ya uchangiaji. Hivi huwezi kujiuliza kama Chadema inawezaje kumteua mbunge viti maalumu akiwa jela na kwenda kumtoa usiku wa manane ili kesho yake akaapishwe kwenye banda la magari? Hayo magereza yanamilikiwa na Chadema? Kutoliona hili kwa uwazi ni kujivisha ujinga tuu
..maamuzi ya chama hufanywa na vikao.
..wao walitakiwa wawashawishi wajumbe wa kamati kuu au baraza kuu wawaruhusu kwenda bungeni.
Kwa hiyo akina Mdee walijiteua wenyewe,barua iliyopelekwa NEC haikuwa na sahihi wala muhuri wa Chama,na je kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa teua wao tu kwani wengine hawapo,mana wao walisusia uchaguzi?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu kupinga kuvuliwa uanachama wao wakati wowote wiki ijayo.
Kesi ya kwanza itakuwa ni kesi ya msingi, ambapo wataitaka mahakama ipitie upya hatua zote za CHADEMA zilizotumika kuwavua uanachama kama zilifuata kanuni na taratibu za katiba ya CHADEMA.
Kesi ya pili ni kuweka zuio la mahakama ili kutaka uamuzi wa kuvuliwa uanachama usitekelezwe popote kwanza, ili kupisha shauri la msingi kusikilizwa kwanza.
Tayari vigogo kadhaa wa CCM kisiri wanahusishwa katika kutoa miongozo na kufanikisha mkakati huo. Ofisi ya spika wa bunge nayo inatajwa kuwa inahusika katika kuratibu zoezi hili, na inategemewa kuwa jumatatu ijayo Spika atazungumza bungeni kubariki wabunge wa covid 19 kuendelea kukaa bungeni kwa mtindo wa kuchelewesha (delay tactic). Kauli kama hii inategemewa kutolewa na Spika, "tayari nimepokea barua rasmi kutoka CHADEMA lakini kuna mambo kadhaa yanamchanganyiko hivyo ningehitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuchukua uamuzi, hivyo nitamwandikia barua katibu mkuu wa CHADEMA ili kuomba ufafanuzi wa barua yake na baada ya hapo ofisi ya spika itakaa upya ili kupitia maudhui ya barua hiyo na kuamua, hivyo basi wabunge wale 19 wataendelea kuwepo bungeni"
Habari za ndani ya Chadema zinasema kuwa uongozi wa chama hicho unazo hizo habari na mawakili wa Chama hicho wako tayari standby wakati wowote kukabiliana na kesi hizo mara tu zitakapofunguliwa.
Mayala maana yake ni njaaMahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Unasemaje Pascal Mayalla?Uanachama wa chama cha siasa, kukuunga ni kwa mujibu wa katiba, sheria taratibu na kanuni, mtu akifukuzwa pia ni vivyo hivyo.
Mtu akifukuzwa uanachama, mahakama hauwezi kuzuia kufukuzwa bali ikijiridhisha kuwa katiba, sheria taratibu na kanuni hazijufuatwa, mahakama inatoa amri ya kuitaka Chadema kuwafukuza kwa kufuata Katiba sheria taratibu na kanuni ili ufukuzaji huo uwe halali.
Hivyo wataendelea kuhesabika ni wanachama halali wa Chadema na kuendelea na ubunge wao hadi ama Chadema wafanye the right thing, au hadi mwisho wa uhai wa Bunge hili.
P.
Mkuu Babu Ochu, sina jipya lolote la kusema, kwenye issue hii, I think I have said almost everythingUnasemaje Pascal Mayalla?