Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

Tundu Lissu kichaka kakitia Kiberiti lazima Nyoka, Vyura, Senene, Panzi, parari, ngedere vyote vikimbie😀😀😀
Lissu atakuwa na wakati mgumu sana kisiasa baada ya mwaka huu. Ameanza uongozi na mguu wa kushoto. Ngoja 2026 ianze ndio mtaelewa.
 
Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Hao siyo wabunge wa Chadema, walishafukuzwa kitambo na wakajaribu kupambana warudhishwe kundini ikashindikana. Kuwaita wabunge wa Chadema ni sawa na kujipiga ledo na kunusa.
 
Back
Top Bottom