Hapo nimekupata mkuuNi kweli. Kama waliweza kuapishwa gereji, lolote linawezekana. Mimi nadhani Halima na Esther wanaweza kuishia ACT Wazalendo sio CCM.
Amandla...
Wahuni wametekwa,maandamano yanazungumzia uchaguzi haramu badala ya matatizo ya wafanyakazi na masilahi yaoKwahiyo mei mosi nayo ishavamiwa na veggies?
Majembe ilikuwa ni kutokana na kusema ukweli, wanaokenda ukweli si lugha yao.Hakika CCM inaenda kupata Majembe
Kwani mei mosi ni mkutano au kongamano la ccm?Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Huyu Nasrut anajulikana ni mchumia tumbo na yule wa Tukuyu lkn wengine utakuwa unadanganya watu.Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Wakati mgumu upi? Kwani hao wabunge walikuwa wanachama wa chama gani?Lissu atakuwa na wakati mgumu sana kisiasa baada ya mwaka huu. Ameanza uongozi na mguu wa kushoto. Ngoja 2026 ianze ndio mtaelewa.
Muulize tu wanakuwaje wabunge kuwakilisha Chadema wakati walishafukuzwa Chadema?Kwani hao Covd19 si walshafukuzwa Chadema tena wanakuaje wabunge wa Chadema?
Ukitaka kujua nchi hii kuna upumbavu uliokubuhu hao wataendelea kuingia Bungeni, kula mishahara na kulipwa malipo ya kiinua mgongo wakati walishafukuzwa Chadema.Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Sasa tumeshajua kwa Uhakika kabisa kwamba siku hizi Siasa ni biashara au ni Kazi nzuri yenye kuingizia wahusika mapato makubwa kweri kweri 😳!Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Sema wabunge mchongo na wasaliti walikua chademaWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Wapo Bungeni bado wanasubiri walipwe hela ya kiinua mgongoKwani hao Covd19 si walshafukuzwa Chadema tena wanakuaje wabunge wa Chadema?
Haukomi, hukumbuki wakati wa Magufuli Ndugai akiwa Spika, Cecil Mwambe alijiuzulu ubunge wa cdm na kwenda kuunga juhudi. Na spika akatangaza Cecil Mwambea kujivua ubunge wa cdm, cha ajabu baadae Ndugai akamuita kwa maelezo kuwa jimbo haliwezi kukaa bila muwakilishi! Haya ya covid 19 ulikuwa ni muendelezo ule ule wa kuvunja katiba.Then after wanaendelea kuwa wabunge wa chadema au ubunge wao unakoma
Wanasiasa wenye wakati mzuri ni wale waliokubali kujilegeza kwa ccm. Hakuna kitu kitaaicha cdm na heshima yake kama kugoma kuburuzwa na ccm. Kama ni wafuasi, cdm inao hadi chenchi inabakia. Hao wachache ni haki yao kuhamia kokote.Lissu atakuwa na wakati mgumu sana kisiasa baada ya mwaka huu. Ameanza uongozi na mguu wa kushoto. Ngoja 2026 ianze ndio mtaelewa.
Mabadiriko yanakuja kutokea ccm, hao wamelelewa kupinga na kuhoji, kuwafanya wawe wa ndiyo na kusifu ni kazi kubwa sanaWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Siasa ni kama biasharaWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.