Mnashindwa kusoma alama za nyakati ,wananchi ndio waamuzi sio vibaka leo wanahamia huku kesho kule ,hawa wanapigwa na chini usifanye mchezo na wananchi
,kama wananchi walio wengi wakiamua kuhama chama hapo kuna tatizo ,mtakumbuka wananchi walikiacha CUF kama kilivyo na kuhamia ACT ,
matokeo yake nyote mnayajua ,, hivyo kiongozi akiondoka na haswa hawa wabunge ,kweli wanajimaliza wenyewe kisiasa.