Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Mei mosi imekuwa sherehe za ccm kumbe?Then after wanaendelea kuwa wabunge wa chadema au ubunge wao unakoma
Mei mosi imekuwa sherehe za ccm kumbe?Then after wanaendelea kuwa wabunge wa chadema au ubunge wao unakoma
Hakuna jipya walijichelewesha wenyewe hadi mda huu cjui kwaniniWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Kwahiyo waliokuwa CCM ni vibutuHakika CCM inaenda kupata Majembe
Waende tuWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Watatokaje Chadema wakati walikwisha fukuzwa na kuthibitishwa na mahakama, msiwapambe waonekane wanaikimbia Chadema.Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Vyama vyote vya wafanyakazi ni matawi ya CCM, wote ni mazombi tuSiku ya Wafanyakazi inahusisha mambo ya CCM?
majembe ya kunolea makalioHakika CCM inaenda kupata Majembe
Acheni kumbana Bana gerezani muone Moto wake,achana na mteule wa Mungu Yule Hana cha kupoteza hata cku mojaLissu atakuwa na wakati mgumu sana kisiasa baada ya mwaka huu. Ameanza uongozi na mguu wa kushoto. Ngoja 2026 ianze ndio mtaelewa.
Waungane na wale lialia njaa55Hao Wabunge walifukuzwa Uanachama wa CHADEMA
Wakiingia vyama vingine ni sawa kwasababu hawawezi kua hawana chama.
Yule wa Mbeya nasikia jana alitangaza tasmi kuwa ameamia CCM. Cha kusikitisha zaidi, Spika yeye anakenua tu hapo Bungeni na wabunge wa viti maalum wa CCM kuzidi idadi waliostahili.Then after wanaendelea kuwa wabunge wa chadema au ubunge wao unakoma
Jambo jema , wasaliti kupokelewa ccmWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Sahihisho; Hao siyo wabunge wa Chadema bali ni wabunge wa Tulia na Samia.Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Si mpaka wati huo Samia atakuwa ameshamnyonga hadi kufaLissu atakuwa na wakati mgumu sana kisiasa baada ya mwaka huu. Ameanza uongozi na mguu wa kushoto. Ngoja 2026 ianze ndio mtaelewa.
Ni kweli. Kama waliweza kuapishwa gereji, lolote linawezekana. Mimi nadhani Halima na Esther wanaweza kuishia ACT Wazalendo sio CCM.Lolote linawezekana mkuu
Ameungua na yeye mwenyeweTundu Lissu kichaka kakitia Kiberiti lazima Nyoka, Vyura, Senene, Panzi, parari, ngedere vyote vikimbie😀😀😀
Nchi hii haifata katiba yoyote. Ccm wakiamua basi huo ndiyo unakuwa utaratibuThen after wanaendelea kuwa wabunge wa chadema au ubunge wao unakoma