C kuna wafanyakazi wa ccm, Ht chadema c kuna wafanyakaziSiku ya Wafanyakazi inahusisha mambo ya CCM?
Swali zuri sanaaaKwani hao Covd19 si walshafukuzwa Chadema tena wanakuaje wabunge wa Chadema?
Haukomi, hukumbuki wakati wa Magufuli Ndugai akiwa Spika, Cecil Mwambe alijiuzulu ubunge wa cdm na kwenda kuunga juhudi. Na spika akatangaza Cecil Mwambea kujivua ubunge wa cdm, cha ajabu baadae Ndugai akamuita kwa maelezo kuwa jimbo haliwezi kukaa bila muwakilishi! Haya ya covid 19 ulikuwa ni muendelezo ule ule wa kuvunja katiba.
Mzee Mdee na Wife wake não wanaenda huko??Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Kikosi kaziWeka mdomo pale mahali pesa ipo...
Achachari au wasaka tonge..!!Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Sure hata vyama vya wakandarasi ni Matawi ya chama ni aibu sanaVyama vyote vya wafanyakazi ni matawi ya CCM, wote ni mazombi tu
Kwahiyo sio sherehe za wafanyakazi tena bali ni sherehe za siasa za Ccm?? HekoooWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
Mbona wako ccm muda wote?Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
AlrightWaheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.