The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
wawaaonee hurumaHawa wabunge sina uhakika kama watatoka bungeni........
Lete ushahidiSpika anasema Wabunge 19 wa CHADEMA wamepeleka kesi mahakamani, pia amesema afisa wa CHADEMA alifika bungeni bila kukabidhi barua hiyo baada ya kuambiwa muda umekwisha bungeni. Bunge lilipokea barua pepe iliyosainiwa na katibu mkuu juu ya maamuzi ya kikao cha baraza kuu juu ya kukataliwa rufaa ya wabunge 19 wa Chadema.
Spika amesema tarehe 13 Mei, barua hiyo iliwasilishwa ofisini kwake kwa mkono na baada ikapokea barua hiyohiyo kwa DHL.
Spika amesema Mamlaka ya mwisho ya utoaji haki ni mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo Bunge haliwezi kuingilia mchakato wa mahakama hivyo inalazima kusubiri mpaka mahakama itapotoa uamuzi wake.
Abiria ndani ya meli tunaiona pwani ileeeee!! Soon meli itatia nanga BANDARI SALAMA.Hivi haya maamuzi ya Bunge Yana double standards?
Mbona wake wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale wakifukuzwa mara moja?
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara MOJA?
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni?
Absolutely true by 100%Serikali inaendeshwa kihuni
Nguvu yao ipo upande wa walioshika mpiniwawaaonee huruma
Mwendelezo wa ushenzi wa awamu iliopita. Upuuzi huu unamchafua hadi mama. Mahakama iliyo wapiga dana dana masheikh wa Zanzibar na Mbowe siyo chombo cha kutenda haki.Aisee!.
Mama na JPM ni kitu kimoja
Swala sio mahakama ila ni uhuni wa Mbowe ....anajua kila kitu kinavyokwenda na hata mkutano mkuu ulipo kaa juzi hakuruhusu kutenguliwa kwa maamuzi ya kamati kuu ila walibariki maamuzi yaliyovunja katiba yao wenyewe... akijua kabisa wataenda mahakamani na yeye kama mnufaika ataaendelea kupata fedha za kuendeshea chama na shughuli zake. So stay tune.Kuna uzi wa Ushimen ulisema hili na nilicomment kuwa mwisho wa siku kisingizio kitakuwa mahakama. Hii nchi ni rahisi sana kuitabiri.
Walikwenda mahakamani kabla ya kufukuzwa?Hivi haya maamuzi ya Bunge yana double standards?
Mbona wake wabunge wa CUF walipofukuzwa na Mwenyekiti wanayemtambua wao Lipumba, wabunge wale walifukuzwa mara moja?
Mbona Sofia Simba alipofukuzwa na CCM, ilitekelezwa mara moja?
Iweje Hawa wabunge 19 wa viti maalum kutoka Chadema, ambapo vikao vyote 2 vya chama, kwa maana ya Kamati Kuu na Baraza Kuu, vikisema wazi kuwa hao wabunge, weshafukuzwa na chama chao cha Chadema, kuwepo na kigugumizi cha kuwatimua Bungeni?
Hivi huyo Spika wa Bunge, Tulia Ackson, ambaye ana Shahada ya PhD ya sheria, haoni namna anavyodhalilisha taaluma hii ya sheria?
Haya maigizo yanapigwa pande zote CDM wakishirikiana na fisiemuMaigizo hayataisha Tanzania CHADEMA wakomae wao Kama wao ova.
Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama.
=====
Spika anasema wabunge 19 wa CHADEMA wamepeleka kesi mahakamani, pia amesema afisa wa CHADEMA alifika bungeni bila kukabidhi barua hiyo baada ya kuambiwa muda umekwisha bungeni. Bunge lilipokea barua pepe iliyosainiwa na katibu mkuu juu ya maamuzi ya kikao cha baraza kuu juu ya kukataliwa rufaa ya wabunge 19 wa Chadema.
Spika amesema tarehe 13 Mei, barua hiyo iliwasilishwa ofisini kwake kwa mkono na baada ikapokea barua hiyohiyo kwa DHL.
Spika amesema Mamlaka ya mwisho ya utoaji haki ni mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo Bunge haliwezi kuingilia mchakato wa mahakama hivyo inalazima kusubiri mpaka mahakama itapotoa uamuzi wake.