Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Kama vipi wafanye upya uchaguzi wa wabunge wote tu.
 
Johnthebaptist !

Kwanini unajidanganya na kutudanganya sisi kipindi hichi cha kwareesma!

Ulaaniwe!
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Umewasahau Bashite na LUKU-v
 
Unatumia nguvu kubwa kumwelekeza huyo zwazwa wa lumumba
 
Wakifutwa ubunge wa viti maalumu watarudishe fedha walizolipwa isivyo stahili??
 
Si walisusa hao,vipi tena? 😬😬😬
 
Exactly, huu ndiyo utaratibu....

Mimi nashauri hata kama CHADEMA watapitia upya maamuzi ya kuwafukuza, tukumbuke kuna ishu ya jinai ya kufoji nyaraka....

Wakitaka kurudi basi, watoe ushirikiano kumweka/kuwaweka wazi waliotumiwa na CCM ya Polepole na Bashiru + NEC ili kughushi nyaraka za chama zilizowapa uhalali wa kuwa bungeni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…