Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Johnthebaptist !

Kwanini unajidanganya na kutudanganya sisi kipindi hichi cha kwareesma!

Ulaaniwe!
 
Wanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Umewasahau Bashite na LUKU-v
 
Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.

Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
Unatumia nguvu kubwa kumwelekeza huyo zwazwa wa lumumba
 
Wakifutwa ubunge wa viti maalumu watarudishe fedha walizolipwa isivyo stahili??
 
Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.

Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.

Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.

Kwaresma njema!
Si walisusa hao,vipi tena? 😬😬😬
 
Kifupi hakuna covid 19 atakayerejeshwa tena bungeni. Huenda baada ya mwezi mmoja kutoka sasa watakuwa mtaani wakidanga. Msimamo wa CHADEMA mpaka sasa upo pale pale kuwa....
1. Hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020.
2. Hawajawahi kufanya mchakato wowote wa kuteua wabunge wa viti maalum.
3. Waliwavua uanachama wale covid 19 kwa kufanya uhuni wa kisiasa na kijinai usioweza kuvumilika hata kwa 1%.

Sasa ili Covid 19 wabakie bungeni inabidi kwanza haya yafanyike
-Watolewe kwanza bungeni.
-CHADEMA warejee upya hayo maamuzi na yawe favour kwa Covid 19.
Exactly, huu ndiyo utaratibu....

Mimi nashauri hata kama CHADEMA watapitia upya maamuzi ya kuwafukuza, tukumbuke kuna ishu ya jinai ya kufoji nyaraka....

Wakitaka kurudi basi, watoe ushirikiano kumweka/kuwaweka wazi waliotumiwa na CCM ya Polepole na Bashiru + NEC ili kughushi nyaraka za chama zilizowapa uhalali wa kuwa bungeni....
 
Back
Top Bottom