Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kama vipi wafanye upya uchaguzi wa wabunge wote tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio maana chama lenu la hovyoUnauliza au unapigia jibu mstari?
Johnthebaptist !Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Umewasahau Bashite na LUKU-vWanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Jiandae tu kwa shughuli nyingine!Johnthebaptist !
Kwanini unajidanganya na kutudanganya sisi kipindi hichi cha kwareesma!
Ulaaniwe!
Hahahah maneno ya wakosaji hayaRais wa Sasa hakutokana na ule uchaguzi/Uchafuzi...
Elewa hivo ndugu, hata Samia anajua hivyo Katiba imempa Urais baada ya Pombe kufa
Usihangaike na hao vichwa panzi mkuu.Hahahah maneno ya wakosaji haya
Anyway maana yeye sio CCM ni Raisi wa katiba
Unawapenda sana CDM ila usichoke ipo siku utapata basha huku ChademaBasha wako hajui kukupiga vizuri
Una propaganda za kishamba sanaHakuna mtu aliomba msamaha hata mmoja na last week walienda gerezani kumsalimia Mwenyekiti, and he was very happy kuwaona hahaha siasa tamu
Unatumia nguvu kubwa kumwelekeza huyo zwazwa wa lumumbaTume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.
Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
How hujuma ? Tume wakileta barua ya majina ya viti maalum ambayo chadema walipeleka utabakia na msimamo huo.?
Ujinga tu. Wewe umejaa propaganda maandazi. Unafikiri unawarubuni watoto wa chekechea hapa?Chadema Wana mkono na mdee anamkono mambo yakiwa wazi ni aibu Kwa wale wazee pale ufipa
Toka huko na wewe, aliyeiba taulo alikuwa wa CCM Mary Mwanjelwa!Sophia mwakagenda yule aliyeba mataulo ya hotel Arusha akadakwa ?
Hivi kwa nini unapenda kufuatilia habari zetu?
Si walisusa hao,vipi tena? 😬😬😬Kuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Ujinga tu. Wewe umejaa propaganda maandazi. Unafikiri unawarubuni watoto wa chekechea hapa?
Acha kuandika dhahania hapa. Tunakwenda na hoja halisi.
Una propaganda za kishamba sana
Exactly, huu ndiyo utaratibu....Kifupi hakuna covid 19 atakayerejeshwa tena bungeni. Huenda baada ya mwezi mmoja kutoka sasa watakuwa mtaani wakidanga. Msimamo wa CHADEMA mpaka sasa upo pale pale kuwa....
1. Hawayatambui matokeo yote ya uchaguzi mkuu wa 2020.
2. Hawajawahi kufanya mchakato wowote wa kuteua wabunge wa viti maalum.
3. Waliwavua uanachama wale covid 19 kwa kufanya uhuni wa kisiasa na kijinai usioweza kuvumilika hata kwa 1%.
Sasa ili Covid 19 wabakie bungeni inabidi kwanza haya yafanyike
-Watolewe kwanza bungeni.
-CHADEMA warejee upya hayo maamuzi na yawe favour kwa Covid 19.