Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City


Waende mahakama ipi boss, hizi za kina jaji Tiganga? Wakiwa hapohapo kwenye hicho kikao watamtaja aliyewapeleka na aliyemtoa Nusrat Hanje usiku gerezani awahi kuapishwa ubunge wa mchongo.
 
Naona unajaribu kuipuuza nguvu ya Mbowe hapo CDM, ni sawa na kusema pale CCM kikwete sio kitu.
 
Naona unajaribu kuipuuza nguvu ya Mbowe hapo CDM, ni sawa na kusema pale CCM kikwete sio kitu.

Siipuzi nguvu ya Mbowe acha upotoshaji wa kijinga, nasema kwa sasa muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti umepita. Kipi huelewi hapo?
 
Kusaliti msimamo wa chama wa kutotambua matokeo ya uchaguzi haramu wa yule dhalimu wa chattle.
Kwahiyo sasa hivi mmeyakubali matokeo?? Mna tofauti gani na hao 19 ambao waliamua kukubali matokeo mapema?
 
Siipuzi nguvu ya Mbowe acha upotoshaji wa kijinga, nasema kwa sasa muda wa yeye kuendelea kuwa mwenyekiti umepita. Kipi huelewi hapo?
Ulipisema Mbowe alitaka kwenda ila akagomewa ikabidi awe mpole ulikuwa unamaanisha nini??

Aliamua tu kuheshimu mawazo yao, ila hakuna wa kumgomea mbowe ndani ya CDM.
 

Hawajayakubali matokeo, bali dhalimu aliyegiza uchaguzi ule unajisiwe yuko motoni. Hivyo maamuzi yanaweza kufanyika sasa kuendana na mabadiliko ya utawala. Nitawashangaa cdm wakikubaliana na matokeo yale ya uchaguzi uliokuwa wa kihayawani vile. Wanaweza kufanya maamuzi fulani fulani kuendana na mazingira ya sasa baada ya yule muhuni kufariki, lakini sio kukubali kuwa matokeo yale kuwa yalikuwa sawa.
 
Kutufundisha jinsi ya kuendesha chama chetu ili hali wewe ni adui wetu ni upumbafu
 
Nilisema wakifukuzwa naachana na JF JUKWAA LA SIASA
Walishafukuzwa na Kamati tu na hata mapendekezo ya kikao Cha Jana ni kuwa rufaa zitupiliwe mbali na kwa jinsi baraza kuu lilivyojaa hasira sioni kama watakua na huruma.

Imagine umepiga kampeni siku 60 ukaporwa kata au Jimbo alafu ukatupwa selo then ghafla unasikia wenzako wamekubali matokeo wameenda bungeni. Hivi unadhani wakiwasamehe 80% ya wagombea 2020 watarudi CCM maana sasa serikali itaona ni mchezo huu unawanyima majimbo then unawatuliza kwa teuzi na viti maalum!!!

Hivi Chadema wanaweza kosoa bunge kutofanya kazi yake kama na yenyewe Ina wawakilishi humo?? Ila wakijitoa Ina maana Kila failure ya bunge itafanya wananchi wawarudishe Chadema kwa hasira 2025!!

So Wana faida nyingi wakikataa rufaa kuliko wakiwahurumia
 
Kusema kuwa wale wabunge walikuwa batili na sasa wanachagua halali ni kupingana na kile mlichowahi kukisema baada ya uchaguzi.

Kila la kheri mkuu.
 
Ulipisema Mbowe alitaka kwenda ila akagomewa ikabidi awe mpole ulikuwa unamaanisha nini??

Aliamua tu kuheshimu mawazo yao, ila hakuna wa kumgomea mbowe ndani ya CDM.

Sijakosea nilichosema, nimeongea ninachojua. Mbowe alitaka chama kishiriki mkutano wa TCD Akagomewa akatulia. Ni kama Kikwete alivyotaka Membe awe mgombea wa ccm 2015 Akagomewa na akatulia. Au wakati huo Kikwete hakuwa na nguvu unayoisema?
 
Hapo sawa kabisa
 
Kusema kuwa wale wabunge walikuwa batili na sasa wanachagua halali ni kupingana na kile mlichowahi kukisema baada ya uchaguzi.

Kila la kheri mkuu.

Naona unachanganya aidha kwa makusudi au kwa kutoelewa, ni hivi uchaguzi ule ulikuwa batili, hata zipigwe mbwembwe zote ukweli huo haubadiliki. Hao wabunge wanachukuliwa hatua kwa kusaliti msimamo wa chama kutotambua matokeo ya uchaguzi ule, na kisha kuforge njia yao kuingia bungeni kwa kushirikiana na bunge la Ndugai na serikali ya Magufuli.
 
Dr. Slaa hakuwa na uchu wa urais na aliridhia ujio wa mgombea mwingine. Aliyeleta shida ni Delila; naye alifanya hivyo kwa kuchochewa na ndugu zake ambao kipindi kile walitajwa hata kwa majina.
 
Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Uko sahihi hii rudhuku mwamba hawezi kuicha.
 
Hawa kukumaji wakisamehewa na kuachwa waendelee kuwa wabunge kwa uharamia waliofanya natangaza rasmi narudisha kadi yangu rasmi ya cdm najiunga na chama kingine........ tutakua tumetofautiana sana kiitikadi na mitazamo
 
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!
Huo ndio ukweli na Shahidi ni Dr. Slaa.
Kama alibadili gia akampokea Lowasa itakuwa hao Covid-19?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…