Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

Zama zimebadilika mkuu! Ni kweli tulikataa matokeo ya uchafuzi ule, lakini kazi ya Mungu ya tarehe 17 March 2021, haina makosa! Hatuwezi kukataa matokeo ya kazi ya Mungu, ni lazima kushirikiana na walio baki kuijenga nchi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wafuasi wa chadema wana upumbavu mwingi sana.

Mbowe anafurahia sana kuwa na wafuasi mazuzu namna hii
 
CDM kuweni makini na GENERALI ULIMWENGU huyu alishakuwa kachero mbombezi nadhani anatumikia kiapo chake cha utii. Subiri muone
 
Tutashirikiana na serikali iliyopo madarakani kuipata katiba mpya. Huko bungeni hawaendi 19 wapya tu, tutatumia kila fursa kuingia huko! Kama kuna wabunge haramu mle, tuna kosa gani kuingiza halali?! Na kwa sababu sukumagang mnakwazwa, kufeni tu mtuachie nchi yetu!
 
Hakuna uchaguzi ambao CDM iliukubali ulikua halali na IKAUTAMBUA....... HAKUNA, inachofanya ni demonstration kuonyesha hakubaliani na rafu, enzi za Jk walisusia sana bunge ikiwemo kutoka bungeni nk
Uchaguzi uliopita rafu zilikua kali sana na hatua ya kwanza kwakuwa kulikua kuna mbunge mmoja tu chama kikaona kisusie kwanza kupeleka wabunge bungeni kama alivyosisiwa JK lakini mwishowe wakapiga nae gahawa ikulu maisha yakaenda.........tatizo sio KUTOTAMBUA MATOKEO
Sasa hawa wahuni wakakimbilia kufoji barua ya kujiteua
Chama kimewahi kuwa na msimamo wa kutopokea posho kubwa lakini wapo waliogoma wakapokea na mambo yakaendelea bila kufukuzana
Chama kiliwahi kukataza kuhudhuria hafla za serikali wapo wabunge walienda na haikua issue..... tofautisha makosa

Wewe unamuona huyo mama tu wapo vitongoji na wenyeviti wa mitaa wanaendelea kazi zao baada ya chaguzi hizi

Narudia issue ni kufoji barua ya kujiteua
Kwa namna yoyote ile ilikua ni lazima CDM baadae wangepeleka majina kama wanavyosusia chaguzi zote na baadae maisha yana kwenda

Ugumu wa issue ya akina Mdee sio kuwafukuza, ugumu ni kwamba wenye sheria CCM wamewateu kinguvu kuwa wabunge wa CDM, barua zimepelekwa kote kuanzia kwa msajili hadi bungeni lakini wamekataa kukubali maamuzi ya CDM wamesimama na Covid19 halafu leo unailaumu CDM inakigugumizi seriously?
 
Acha kuongopa!

Mbowe mwenyewe kwa mdomo wake alisema chadema haitambui matokeo na haina mbunge hata mmoja bungeni
Hakuna uchafuzi ambao cdm imewahi kuukubali na kuutambua
 
Maamuzi yyte yale lazima kutakuwa na connection na kikao cha juzi Ikulu lazima tujifunze kufikiria kama majasusi ya Kremlin
 
Gazeti lote pumba tupu. Nyie wafukuzeni uanachama officially ili dunia mnayopenda kuitaja ijue covid sio wanachama wenu halali
 
Gazeti lote pumba tupu. Nyie wafukuzeni uanachama officially ili dunia mnayopenda kuitaja ijue covid sio wanachama wenu halali
Mkuu mke wakwangu mie nikitaka kumfukuza unaumia weye mpinzani wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani mnatoa wafungwa jela saa mbili usiku halafu kesho yake asubuhi eti munamuapisha mbunge wa CDMπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu tutaache haya twende tukapeano Odd kule tutaongea lugha moja
 
Mmh akina mdee wake zako kumbe daah

Mbowe alitolewa gerezani kimsamaha na kukaribishwa ikulu cha ajabu kipi hapo

Hee wapi huko mnakopeana odd au umechanganya ID?
 
Whatever the case, Mbowe ndio muamuzi! Tutulie na kusubiri nini ataamua. Akitaka kuwasamehe mtabadili gia angani penda msipende. Hizi siasa zetu usiwe na maneno mengi sana! Subiri matokeo!
Ulivyo mnafiki,ukikosa furaha huko CCM unatafuta faraja kwa CDM na Mbowe. Mataga kipindi hiki kazi mnayo.
 
Sidhani kama CHADEMA wanao ubavu wa kuwatema hawa Covid-19. Sanasana watapewa onyo na kupewa Baraka za kuendelea na Ubunge wao. Mwisho wa siku Chama kuendelea kupokea ruzuku
Watakuwa wamefanya kosa kubwa sana.
 
Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…