Mkuu mtu akiingia kazini kupitia mlango wa nyuma lazima atakuwa mtumwa wa aliye muingiza kazini kwa njia haramu.Mwenye makosa makubwa ni spika ambaye anavunja katiba kwa kutotekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na katiba.
Siku dunia itakapofika mwisho.Tangu lini uvccm wakawa no akili ?
Spika bado ana mandate ya kuhoji wabunge wake wameingia bungeni kwa mlango upi
Paskali unaheshimika sana, jitahidi.mengine usome na upite usi comment maana wengi wanakuchukulia kama role model wao, usiwaharibu.Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.
P
Acha wale maishaLeo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.
Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
View attachment 2617591
Mawazo yako yana angukia kwenye utumwa wakupewa kitengo tu
Yaani wewe nyumbu ni shida sana tena hujitambui. Hivi unajua kuwa katika hao unaowaita Covid 19 kuna mke wa kiongozi wako wa kitaifa aitwaye Kigaila? Hata jina lake silijui vizuri. Pia unajua kuwa viongozi wako wanachukua ruzuku ya chama ya kila mwezi kwa sababu ya hao wabunge!!? Hebu jaribu kujitambua basi hata kidogo!!Tangu lini uvccm wakawa no akili ?
Mkuu achana na hawa nyumbu hawajitambuiShida yenu mnadhania Jf ni kijiwe cha kahawa
Unamtaka Spika ahoji ubunge wa mtu wakati yy mwenyewe analetewa majina ya kuwaapisha kutoka tume
Au tangu umezaliwa umewahi kusikia Bunge linatangaza Jimbo kuwa wazi?
Kama Mwenyekiti kesha kamilisha Maridhiano na Chama tawala yaani CCM.Haya uliyo andika ndiyo tunaitaga mawazo ya vijiwe samri au vijiwe vya wavua chaza.
Kamuulize mwenyekiti wenuKama Mwenyekiti kesha kamilisha Maridhiano na Chama tawala yaani CCM.
Kuna haja gani sana ya kuwafukuza hao Wabunge?
Mwenyekiti si kaumaliza mtafaruku na ruzuku IMETOKA.
Yanini tena kufukua Makaburi au unatuambia kuwa Maridhiano yalikuwa ni kiinimacho tu.
Ccm ni majambaziShida yenu mnadhania Jf ni kijiwe cha kahawa
Unamtaka Spika ahoji ubunge wa mtu wakati yy mwenyewe analetewa majina ya kuwaapisha kutoka tume
Au tangu umezaliwa umewahi kusikia Bunge linatangaza Jimbo kuwa wazi?
Habari za kumsujudia eti mke wa kiongozi sijui nani hayo yapo kwenu waramba miguu wa uvccm na sukuma gangYaani wewe nyumbu ni shida sana tena hujitambui. Hivi unajua kuwa katika hao unaowaita Covid 19 kuna mke wa kiongozi wako wa kitaifa aitwaye Kigaila? Hata jina lake silijui vizuri. Pia unajua kuwa viongozi wako wanachukua ruzuku ya chama ya kila mwezi kwa sababu ya hao wabunge!!? Hebu jaribu kujitambua basi hata kidogo!!
Ccm ni majambazi