Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni wahujumu pale Bungeni

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.

Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.

Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu vya siasa, wale wabunge 19 wa viti maalum Chadema, ni wabunge halali kabisa kwa mujibu wa taratibu zote za kibunge!, hawakujiteua, waliteuliwa, majina yao yakapelekwa NEC, NEC ndio ikawapeleka Bungeni. Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Chedema ikawafuta uanachama kinyume cha katiba ya Chadema na kinyume cha utaratibu wa nidhamu Chadema kupitia a kangaroo court!. A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo? hivyo sasa wametinga mahakamani kwenda kuitafuta haki yao.

Wanawake hawa wanaoandamana sasa, ningewashauri wasubiri kwanza matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!, ndipo waandamane.

P
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge halali kabisa kwa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wasubiri matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!.

P
Mtu alitolewa gerezani usiku na kwenda kula kiapo ili awe mbunge!

Sasa tunajiuliza nini kilikuwa kimemuweka gerezani?

Au hukumu ya mahakama ilifanyika usiku usiku?

Au alikuwa gerezani bila kuwa na hatia?
 
Leo hii kina mama wa cdm maarufu kama Bawacha wameandamana kuujulisha umma dhidi ya hujuma za covid 19.

Naamini kama watatokea wakashitakiwa kiukweli kabisa kabisa na haki ikatendeka basi hawa kikombe cha uhujumu hakitawaepuka.
Nilikua siamini ila sasa naamini kuna hila mbaya ndio inawaweka covid 19 kuweza kuendelea bungeni. Kisheria kwa tanzania ukitimuliwa na chama chako uanachama hakuna mtu kuhoji bunge wanakutimua hapohapo. Kama umeonewa uende mahakamani dhidi ya chama chako. Ila kwa hawa covid 19 eti bunge limesubiri waende mahakamani badili ya kuwatimua mara moja. Na sasa wameshindwa bungeni bado wapo huenda tulia atasema wamekata rufani kwa hivyo waendelee kukalia viti huku chama chao kiliwatimua siku nyingi. Yaani wananchi tunastaajabu tu.
 
Mkuu hawa wanajandalia kesi ya uzeeni tu maana jinai haifutiki hata baada ya miaka 100.

Siku ukiingia uongozi wa chama tofauti na ccm basi hawa lazima watalipa fedha za watanzania.
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge halali kabisa kwa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wasubiri matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!.

P
Chama cha kimewakataa.Wewe ni nani ung'ang'anie hilo?Kubadili mawazo kwa kuona makosa si kosa.
 
Mkuu hawa wanajandalia kesi ya uzeeni tu maana jinai haifutiki hata baada ya miaka 100.

Siku ukiingia uongozi wa chama tofauti na ccm basi hawa lazima watalipa fedha za watanzania.
Baada ya miaka 100 hakuna atakaekuwepo. Labda wayafungulie kesi makaburi yao. Halafu futa wazo la chama kingine kuingia madarakani hivi karibuni. CCM bado ipo sana.
 
Kiukweli tuna wanachama wenye akili za ajabu sana humu kwenye vyama vyetu, wale ni wabunge halali kabisa kwa taratibu zote za kibunge!. Wanawake hawa wasubiri matokeo ya kesi iliyopo Mahakamani!.

P
Kesi ipo mahakamani sawa, lakini ujue zinapewa maelekezo kutoka juu ya kutosoma hukumu mapema mpaka 2025 au unajifanya hujui.
 
Covid kitanzini
Hao wanachama walioandamana hawajitambui. Hakuna uhujumu wowote kwasababu hata kama kina mdee wasingewazidi akili lazima michepuko, ndugu, na wake za vigogo wa CHADEMA wangechukua hizo nafasi. Kwanza hata katika hilo kundi la Covid19 kuna mke wa Kigaila ambaye ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA.
 
Baada ya miaka 100 hakuna atakaekuwepo. Labda wayafungulie kesi makaburi yao. Halafu futa wazo la chama kingine kuingia madarakani hivi karibuni. CCM bado ipo sana.
Hawa walisema ipo siku lowassa atashtakiwa kwa ufisadi. Sasa tujiulize nani Leo hii anakumbuka hayo tena?

Kwenye siasa changa karata zako tu, watanzania Ni wasahaulifu. Naamini kina mdee walilijua Hilo
 
Hao wanachama walioandamana hawajitambui. Hakuna uhujumu wowote kwasababu hata kama kina mdee wasingewazidi akili lazima michepuko, ndugu, na wake za vigogo wa CHADEMA wangechukua hizo nafasi. Kwanza hata katika hilo kundi la Covid19 kuna mke wa Kigaila ambaye ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA.
Kumbe waliwazidi akili Chadema, sasa hilo halitakiwi, wangechukua hizo nafasi kwa utaratibu wa chama kuliko kutolewa gerezani na kweda kuapishwa kuwa Mbunge na vipi kuhusu ile kesi ya Nusrant Hanje huoni kuna uvunjivu wa sheria? kama ndivyo kwa nini waendelee kuwa Bungeni.
 
Back
Top Bottom