Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?

Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
 
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safari kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?

Ni haki yetu wananchi kumfahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Hawatayaweka maana wanahofia mtayasomea kurujuan.

Maoni ya wananchi yametoa mwelekeo halisi wa hali ya utulivu wa nchi. Wazee wa kukusanya taarifa wameumbuka maana taarifa nyingi zinaonesha wananchi wanaridhika na utawala uliopo
 
Bongo ni nchi ngumu, ni nchi ya maajabu, kila mara kuna taarifa za ajali ila walioumia hawatajwi sasa sijui wanaongea kwa nini. Si waache tu.
 
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?

Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Dua za wananchi zikijibiwa, kila kitu kitakuwa wazi ingawa lazima itapindishwa.

Utasikia alikuwa ana tatizo la moyo kwa mrefu
 
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?

Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
Mfichaficha maradhi kilio kitamuumbua! Ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom