Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Hiyo flyover Ina direct impact gani kwa mimi niliyepo hapa sing'isi?
 
wabunge watulie tu wasije jikuta mtu anavunjika kiuno bure. wengi wa wabunge wala hawajui tena ccm inasimamia nini. ikiwa walifaulu kuingia bungeni kwa kutumia hela wanajua hela ndio kila kitu na bila kua nazo tena nyingi hurudi tena mjengoni. kwa sasa bado wanampima mwenyekiti mpya wa ccm anayesema watu wanaweza kuingia mjengoni bure. hakika hawamuelewi
 

Wakati mnashangilia hotuba za matusi za Mkullu,Makondakta ndiye mtu wake wa Karibu wa kukwapua RASLIMAlI za Umma na kunyang'anya mali za Matajiri.

Mwisho wa siku mtakuja kuona uovu wa Mkullu wange.Muda huongea lugha zote hata kichina
 

Sikiliza hiki ndipo utaelewa nini maana ya HOTUBA za Magufuli na Matendo ya Makonda

 

Watanzania kwa uzushi na umbea...eti wabunge kadhaa (hawana majina na idadi) inasemekana (kumbe hakuna uhakika). Eti hali ya kisiasa kuzidi kukaa tenge (hatuoneshwi kivipi iko tenge). Acheni tu Magufuli atunyooshe.
 
Kunakitu kanifurahisha Leo bamdogo bashite, eti uamuzi niliufanya mwenyewe, nafomu nilichukua mwenyewe, sasa baba na kura ulijipigia mwenyewe?? Na kujiapisha mwenyewe???

Nahis kama bado anadhani yuko kwenye kampeni bamdogo alafu ajaamini yeye ni Pres, that's why anaforse ijulikane ni yeye, bamdogo tunajua jamani wewe ni rais!!! Ila walio mteua najua wako huko wanajuta kweli kweli!!!
 
Unasema tu wewe haujui katiba inasemaje. Je Kama wakipiga kura yakutokua na imani na Raisi na akidi ikatimia , si anachomoka.
Yule hatatoka ng'oo.
Haki ya Nani tena kama jamaa tutafika naye, sijui hata hiyo 2020 kama kutakua na uchaguzi mkuu. Sema na Mimi nimeota kama Lema, ndiyo tumaini pekee ninalolitegemea
 
Hawa ndo wangetuokoa na tufani hii, lakini kwa kupenda matumbo yao nao wanalia na sisi
 
Itabaki kuwa Tetesi mpaka Ww Mwenyewe utasinzia na Nchi Inasonga[emoji4] [emoji4]
 
Naona chengachenga Vile bunge la dharura atakaeliita nani? Au Yule mama ataliitisha? Tushaambiwa tuchape kazi mi nishatangulia naotesha jaman kamvua ndo kashaanza kunyesha huku kwetu naziba masikio nisisikie ya huko duniani tena yananipotezea muda
 
I wish wapeleke hoja ya kutokuwa na imani na rais Ili apigiwe kura ya kutolewa madarakani
 
sio bongo au unazungumzia bunge la sauzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…