Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

THREAD yako inaleta maswali sana

Kwanini uulize kwa mbunge peke ake?

Au wewe ni mbunge uliefanya huo msala? Uko unataka kujua hatima yako?

Au Kuna video huko ya mbunge umeshaipata? Unauliza kabla hujamlipua?

Au unamzungumzia Mbunge Rashid?
Kuna connection ya Mbunge Nini? Bado sijaelewa
 
Habari za gwajima tumechoka tafuta Kiki nyingine.
 
inategemea chama chake, kama ni kile cha rangi za Yanga hakuna shida.
 
tupeni vitu na sisi basii ama ipandisheni hyo video kule kwenye mtandao wetu pendwa eksi vidios [emoji1787][emoji1787] tuenjoy wote na krismas hii.
 
Kuwajibishwa ni jambo moja. Heshima yako katika jamii ni jambo jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…