chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Uwiiiiiiiii, mweeee!Chikutentema maana yake kinatetemeka....hahahahahaha..wewe mfipa wewe
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiiiiiiii, mweeee!Chikutentema maana yake kinatetemeka....hahahahahaha..wewe mfipa wewe
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Aeshi arufono sana....watentemile na Matiko...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Uwiiiiiiiii, mweeee!
Hahahahaha chishinda apopola matiko yanani. Ntumila kavideo indole vintu mwee nchili nakapata kavideo.Aeshi arufono sana....watentemile na Matiko...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Mkuu nitumie PMAeshi arufono sana....watentemile na Matiko...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Kuna connection ya Mbunge Nini? Bado sijaelewaTHREAD yako inaleta maswali sana
Kwanini uulize kwa mbunge peke ake?
Au wewe ni mbunge uliefanya huo msala? Uko unataka kujua hatima yako?
Au Kuna video huko ya mbunge umeshaipata? Unauliza kabla hujamlipua?
Au unamzungumzia Mbunge Rashid?
Ntumila ku-PM walukoAeshi arufono sana....watentemile na Matiko...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent from my SM-A320F using JamiiForums mobile app
Vipi wadau naona nakuwa mgeni Sasa, sielewi nini kinaendelea ,Kuna mtu kadhalilishwa au, Kuna connection ya DomPoleni sana wana tarime na kule kahengesa
Kuna mechi imechezwa wa wapi na wapi?Tarime na Sumbawanga
Hii ndo point Sasa wamwage , mafumbo mengi hayana manaIn JF we dare talk openly! Mwageni chuzi lote kama lilivyo, siyo mnatuchujia chujia vitu! Nani kajirekodi, akiwa na Nani?
Habari za gwajima tumechoka tafuta Kiki nyingine.Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.
Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.
Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?
Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.
Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Kaengesa hatujapoa tunamsubiri huyo Mkata viuono tumuulize kama ndo kazi tuliyomtuma.Poleni sana wana tarime na kule kahengesa
Kafanya Nini, ? Me nampenda Sana Ester BMkuu hiyo connection ya matiko unayo?
Aeshi ndo Nani?Mkuu naitafuta pia,ni ya Matiko na Aeshi
Acha ujuaji Aeshi ni Mbunge wa SUMBAWANGA siyo Nkasi Kaskazini.Hahahaha Kaengesa sio Kahengesa. Pia sio sumbawanga ni Nkasi-Kaskazini. Ni sawa na kuita Rombo Moshi badala ya Kilimanjaro.
inategemea chama chake, kama ni kile cha rangi za Yanga hakuna shida.Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.
Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.
Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?
Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.
Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Acha ujuaji Aeshi ni Mbunge wa SUMBAWANGA siyo Nkasi Kaskazini.