Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Wabunge/ Mbunge akijirekodi faragha anaweza kupoteza Ubunge wake?

Nileteeni Matiko, nileteeeeni matikooooo nileteeeeeeeeeeni matikoooooooooo nileteeeeeeeeeeeeeeni matikooooooooooooooooo
 
Dah. Sijui ndio "raha" ya kutazama porn au ndio siasa zetu zimefika LOW kiasi hiki! Pamoja na kutofurahishwa na harakati za COVID 19, sikutarajia kuona wengi wakifurahia habari ya aina hii. I feel embarrassed. (aibu naona mimi).

Na kama video imetengenezwa kwa lengo la kuadhiri mtu basi nashauri CHADEMA, kama chama, wasimame kwenye MORAL HIGH GROUND na kuachana na aibu ya aina hii. Hata iwe ya kweli, acha mashabiki "wafaidi"porno yao; ni ngumu kuzuia, lakini chama kisiingie kucheza kwenye siasa za majitaka. Haiongezi thamani kwenye hatua walizochukua tayari. Kwanza Lissu alishaweka standard kuhusu masuala ya faragha. CHADEMA waonyeshe mfano kwa kutofurahia kilichotokea kwa huyo mwanachama wao mwenye utata. Ni binadamu bado.
 
Hivi karibuni kumekuwepo na tabia ya Mambo ya chumbani kurekodiwa na kutupwa mitandaoni.

Vitendo hivi kwa kiasi kikubwa vinapofanywa na watu wenye nyadhifa za kidini na kisiasa hakuna hatua huchukuliwa ila anapofanya mtumishi mwajiriwa wa Umma au hata sekta binafsi polisi hupeleleza mara moja na kuwafikisha mahakamani.

Wanapofanya wasanii hivyohivyo, Je kama ni jinai kwanini inachagua makundi ya kuchukuliwa hatua?

Wanawake wanaochipukia na kujiimarisha kwenye jamii wamekuwa wahanga pia katika ukatili huu wa kidhalilishaji.

Napenda tujielimishe; Mbunge anaweza chukuliwa hatua ikithibitika amerekodi au kurekodiwa akiwa anafanya mapenzi?
Na ole wako unirekodi, nitakufanya kitu kibaya, hautanisahau kamwe
 
Back
Top Bottom