Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Huyo dada mimi nilishaacha kumjibu maana ina matatizo makubwa sana!Bwawa la nyerere trillion 13?? Ni trillion 6.5
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo dada mimi nilishaacha kumjibu maana ina matatizo makubwa sana!Bwawa la nyerere trillion 13?? Ni trillion 6.5
Awamu ni mtu sio muhula ama uchaguzi. Ingekuwa kila uchaguzi unabadilosha awamu basi mfano Kikwete angekuwa Rais wa awamu mbili tofauti kwa kuwa ndani ya kipindi cha Urais wake zilifanyika chaguzi kuu mbili.Hakuna awamu ya sita kwani tumefanya uchaguzi lini ? Mama anamalizia ngwe ya mwendazake.
Gharama kubwa iliongezeka maana Rais muda mwingi alikuwa ikulu ya Dar es Salaam na akitoka hapo anafanya kuzuga Dodoma siku chache huyooo Chato akitoka huko yupo Dar tena.Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Wizara ya fedha Dodoma wakati benki kuu ipo Dar es Salaam hivyo kufanya safari za viongozi wa wizara kuwa za mara kwa mara kutoka Dodoma kuja Dar es Salaam nakulipwa per diem zisizo na ulazima.Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Nitarudi baadae wadau wakishajitokeza.Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo.
Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva anaendesha gari bovu limfikishe sehemu salama hata kwa kuendelea kuliharibu zaidi na kuzidisha gharama za matengenezo baadaye.
Lazima tukubali kuwa awamu ya Tano kuna mambo imeyafanya vizuri sana lakini Kuna ambayo imeyaharibu zaidi na yanaongeza gharama kwa awamu ya Sita na pengine na zijazo nyingi.
Baadhi ya mambo iliyoyaharibu zaidi ni demokrasia, utawala wa sheria, uhusiano wa kimataifa, kuhamia Dodoma, TANESCO, korosho, baadhi ya miradi mikubwa na biashara.
Awamu iliamini kuwa awamu zilizopita hazikuwa makini kwenye kila kitu hivyo ilitaka kurekebisha mapungufu Yao yote kwenye awamu ya Tano. Kazi hii isingekuwa sawa na rahisi hata kidogo kwakuwa shida nyingi za Tanzania zinatoka nje ya Tanzania (neo colonialism, world trade market, IMF, UN, WB, EU, religions, etc.) ambazo zinautafuna uchumi wetu.
Hata kama hutaki lazima ukanunue silaha kali na ya kisiasa kwa bei kubwa sana kwao hata kama silaha hiyo hutaitumia, maana jirani zako wanayo silaha ya aina hiyo.
Wewe ndo umepigwa jiwe na Niwemgizi kwa uchawa wako?Sukuma gang na akili za kushikiwa. Pole sana
Tuonyeshe ilani ya uchaguzi ya awamu ya sita...acheni kukimbia kivuli cha magufuliAwamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo.
Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva anaendesha gari bovu limfikishe sehemu salama hata kwa kuendelea kuliharibu zaidi na kuzidisha gharama za matengenezo baadaye.
Lazima tukubali kuwa awamu ya Tano kuna mambo imeyafanya vizuri sana lakini Kuna ambayo imeyaharibu zaidi na yanaongeza gharama kwa awamu ya Sita na pengine na zijazo nyingi.
Baadhi ya mambo iliyoyaharibu zaidi ni demokrasia, utawala wa sheria, uhusiano wa kimataifa, kuhamia Dodoma, TANESCO, korosho, baadhi ya miradi mikubwa na biashara.
Awamu iliamini kuwa awamu zilizopita hazikuwa makini kwenye kila kitu hivyo ilitaka kurekebisha mapungufu Yao yote kwenye awamu ya Tano. Kazi hii isingekuwa sawa na rahisi hata kidogo kwakuwa shida nyingi za Tanzania zinatoka nje ya Tanzania (neo colonialism, world trade market, IMF, UN, WB, EU, religions, etc.) ambazo zinautafuna uchumi wetu.
Hata kama hutaki lazima ukanunue silaha kali na ya kisiasa kwa bei kubwa sana kwao hata kama silaha hiyo hutaitumia, maana jirani zako wanayo silaha ya aina hiyo.
Awamu ni mtu sio muhula ama uchaguzi. Ingekuwa kila uchaguzi unabadilosha awamu basi mfano Kikwete angekuwa Rais wa awamu mbili tofauti kwa kuwa ndani ya kipindi cha Urais wake zilifanyika chaguzi kuu mbili.
Hatuangalii chaguzi bali mtu akibadilika tu na awamu inabadilika.
Hakukuwa na mpango mahususi Wala bajeti ya kuhamia Dodoma, tulivomoa TU any how. TANESCO ilikuwa " umeme ukikatika utakiona" hivyo watu waliogopa hata kufanya services za kawaida Wala kuondoa nguzo iliyoliwa na mchwa.Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Wizara ya fedha Dodoma wakati benki kuu ipo Dar es Salaam hivyo kufanya safari za viongozi wa wizara kuwa za mara kwa mara kutoka Dodoma kuja Dar es Salaam nakulipwa per diem zisizo na ulazima.
Huwezi kufanya maamuzi yanayohusu benki kuu viongozi wa wizara wakiwa Dodoma lazima waje Dar ili kufanya maamuzi hayo.
Unaongea kama mtu taahira.Hakukuwa na mpango mahususi Wala bajeti ya kuhamia Dodoma, tulivomoa TU any how. TANESCO ilikuwa " umeme ukikatika utakiona" hivyo watu waliogopa hata kufanya services za kawaida Wala kuondoa nguzo iliyoliwa na mchwa.
Kwa Kweli umekuwa mkweli kweli kweliAwamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo.
Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva anaendesha gari bovu limfikishe sehemu salama hata kwa kuendelea kuliharibu zaidi na kuzidisha gharama za matengenezo baadaye.
Lazima tukubali kuwa awamu ya Tano kuna mambo imeyafanya vizuri sana lakini Kuna ambayo imeyaharibu zaidi na yanaongeza gharama kwa awamu ya Sita na pengine na zijazo nyingi.
Baadhi ya mambo iliyoyaharibu zaidi ni demokrasia, utawala wa sheria, uhusiano wa kimataifa, kuhamia Dodoma, TANESCO, korosho, baadhi ya miradi mikubwa na biashara.
Awamu iliamini kuwa awamu zilizopita hazikuwa makini kwenye kila kitu hivyo ilitaka kurekebisha mapungufu Yao yote kwenye awamu ya Tano. Kazi hii isingekuwa sawa na rahisi hata kidogo kwakuwa shida nyingi za Tanzania zinatoka nje ya Tanzania (neo colonialism, world trade market, IMF, UN, WB, EU, religions, etc.) ambazo zinautafuna uchumi wetu.
Hata kama hutaki lazima ukanunue silaha kali na ya kisiasa kwa bei kubwa sana kwao hata kama silaha hiyo hutaitumia, maana jirani zako wanayo silaha ya aina hiyo.
Hizo zako wewe hujashikiwa na msoga kweli?Sukuma gang na akili za kushikiwa. Pole sana
Waliokuelewa watakujibuUnaongea kama mtu taahira.
Oka, utatisha watu, je utatisha mitambo pia?
Unaijua mitambo ya gas? Inafanya kazi kwa masaa, masaa yakizidi inazimika yenyewe.
Muwe mnajifunza kwanza kabla ya kuandika utaahira humu.
Gharama kubwa iliongezeka maana Rais muda mwingi alikuwa ikulu ya Dar es Salaam na akitoka hapo anafanya kuzuga Dodoma siku chache huyooo Chato akitoka huko yupo Dar tena.
Mantiki ya Dodoma ikawa imekufa maana kila wizara ama idara ilikuwa na ofisi mbili Dodoma na Dar.
Ulitaka watu waendelee kulundikana Dar es Salaam? Fikiria nje ya box!Sababu za kuhamia Dodoma alizozieleza Nyerere enzi zake bado zina umuhimu ktk zama hizi? Jiwe alikuwa anapoteza fedha za walipa kodi tu.
Kujenga bwawa la Nyerere likalogharimu trilioni kumi na tatu kwa miaka 13 halafu akatelekeza mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi anabo upo hatua nzuri, unaona alikuwa na akili yule jiwe?