Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

Hakuna awamu ya sita kwani tumefanya uchaguzi lini ? Mama anamalizia ngwe ya mwendazake.
Awamu ni mtu sio muhula ama uchaguzi. Ingekuwa kila uchaguzi unabadilosha awamu basi mfano Kikwete angekuwa Rais wa awamu mbili tofauti kwa kuwa ndani ya kipindi cha Urais wake zilifanyika chaguzi kuu mbili.

Hatuangalii chaguzi bali mtu akibadilika tu na awamu inabadilika.
 
Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Gharama kubwa iliongezeka maana Rais muda mwingi alikuwa ikulu ya Dar es Salaam na akitoka hapo anafanya kuzuga Dodoma siku chache huyooo Chato akitoka huko yupo Dar tena.

Mantiki ya Dodoma ikawa imekufa maana kila wizara ama idara ilikuwa na ofisi mbili Dodoma na Dar.
 
Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Wizara ya fedha Dodoma wakati benki kuu ipo Dar es Salaam hivyo kufanya safari za viongozi wa wizara kuwa za mara kwa mara kutoka Dodoma kuja Dar es Salaam nakulipwa per diem zisizo na ulazima.

Huwezi kufanya maamuzi yanayohusu benki kuu viongozi wa wizara wakiwa Dodoma lazima waje Dar ili kufanya maamuzi hayo.
 
Mitambo ya umeme ilikuwa fresh tuu kipind cha jiwe, wamekuja wajuaji wameichokonoa 😊😊😊😀😀
 
Nitarudi baadae wadau wakishajitokeza.
 
Sukuma gang na akili za kushikiwa. Pole sana
Wewe ndo umepigwa jiwe na Niwemgizi kwa uchawa wako?
Nadhani jana ulipata aibu baada ya maneno ya askofu.

Tanzania ya sasa tunataka mambo yaende na sio siasa wakati watu wanaumia na maisha magumu huku hakuna kinachoendelea

Kama ulipata cheo kwa njia ya kusifia basi endelea kwani ipo siku yako nawe utanuna tu.
Wakutaka sifa hawatakuwapo na ndo utasaga meno.
 
Tuonyeshe ilani ya uchaguzi ya awamu ya sita...acheni kukimbia kivuli cha magufuli
 
Kama ni hivyo hakuna haja ya kusema awamu, Rais wa sita inatosha.
 
Awamu ya tano tanesco na kuhamia dodoma kuliharibu kitu gani mkuu?
Hakukuwa na mpango mahususi Wala bajeti ya kuhamia Dodoma, tulivomoa TU any how. TANESCO ilikuwa " umeme ukikatika utakiona" hivyo watu waliogopa hata kufanya services za kawaida Wala kuondoa nguzo iliyoliwa na mchwa.
 
Kumbe kilichokuwa kinahitajika sio kuhamia Dodoma bali kuimarisha mifumo ya mawasiliano TU nchi nzima baaasi. Ndio maana mama Samia amepata muwekrzaji wa kiwanda Cha fibers na kujengwa dar es salaam kuimarisha mawasiliano badala ya kwenda kujenga ofisi nyingine tena Dodoma. Hivi hiyo luxury tunaitoa wapi wakati watoto hawana madawati ya kukalia?
 
Hakukuwa na mpango mahususi Wala bajeti ya kuhamia Dodoma, tulivomoa TU any how. TANESCO ilikuwa " umeme ukikatika utakiona" hivyo watu waliogopa hata kufanya services za kawaida Wala kuondoa nguzo iliyoliwa na mchwa.
Unaongea kama mtu taahira.

Oka, utatisha watu, je utatisha mitambo pia?

Unaijua mitambo ya gas? Inafanya kazi kwa masaa, masaa yakizidi inazimika yenyewe.

Muwe mnajifunza kwanza kabla ya kuandika utaahira humu.
 
Kwa Kweli umekuwa mkweli kweli kweli
 
W
Unaongea kama mtu taahira.

Oka, utatisha watu, je utatisha mitambo pia?

Unaijua mitambo ya gas? Inafanya kazi kwa masaa, masaa yakizidi inazimika yenyewe.

Muwe mnajifunza kwanza kabla ya kuandika utaahira humu.
Waliokuelewa watakujibu
 
Hivyo Gharama Kali za ulinzi Ikulu za DSM, Dodoma na chato
 
Ulitaka watu waendelee kulundikana Dar es Salaam? Fikiria nje ya box!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…