PreGE2025 Wabunge wa asanteni kuthibitisha kuwa Oktoba 2025 kama Uchaguzi Upo; Samia NDIO, Wabunge wa CCM Wote NO

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.

Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.

Yale ya wajibu wenu hamfanyi, Ripoti ya CAG inaletwa kila mwaka bungeni ili mchukue hatua HAMCHUKUI bali kupokea vibahasha tuu, hamjui ni wajibu wenu?

Mawaziri wanavurunda nyie kazi yenu kuomba aje jimboni muongozane ili kuangalia jambo lililo feli tu jee ndio wajibu wenu?
Sasa kama wananchi. Hatutachagua mbunge wa CCM maana mnakiri kila lifanyikalo ni "mama" nyie ni kushangilia tuu labda mhe.

LUHANGA MPINA pekee na mnapanga kumfukuza au kutompitisha.

Kama uchaguzi utafanyika maana naamini Reforms zitafanyika na Chadema atashiriki wabunge wa vigelegele hawarudi tena bungeni na kuhusu huyo "Mama" ngoja tusubiri kampeni tutamhukumu wenyewe kama anafaa au tutimize ule utabiri wa Sheikh Yahaya alioutoa wakati wa Mkwere JK?

Tuwasaidie hawa wasemao wameshindwa na wawezacho ni kumsifia "mama" kuwa anaweza na kufanya yote.
 
Wabunge wa ACT maana Kikuu cha upinzani kipo kolokoloni
 
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalidhibitisha wenyewe ndani ya bunge. Kila anaye zungumza ana sifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali!
Yale ya wajibu wenu hamfanyi, Ripoti ya CAG inaletwa kila mwaka bungeni ili mchukue hatua HAMCHUKUI bali kupokea vibahasha tuu, hamjui ni wajibu wenu?
Mawaziri wanavurunda nyie kazi yenu kuomba aje jimboni muongozane ili kuangalia jambo lililo feli tu jee ndio wajibu wenu?
Sasa kama wananchi, hatutachagua mbunge wa CCM maana mna kiri kila lifanyikalo ni "mama" nyie ni kushangilia tuu labda mhe. LUHANGA MPINA pekee na mnapanga kumfukuza au kutompitisha.
Kama uchaguzi utafanyika maana naamini Reforms zitafanyika na Chadema atashiriki wabunge wa vigelegele hawarudi tena bungeni na kuhusu huyo "Mama" ngoja tusubiri kampeni tutamhukumu wenyewe kama anafaa au tutimize ule utabiri wa Sheikh Yahaya alioutoa wakati wa Mkwere JK?
Tuwasaidie hawa wasemao wameshindwa na wawezacho ni kumsifia "mama" kuwa anaweza na kufanya yote.
Kumchagua anayesapoti utekaji ni uzembe wa hali ya juu sana. Wamarekani wamekataa kumpa nchi mwanamke mara mbili, sisi ni nani mpaka tujitoe ufahamu? Tukampumzishe akalee wajukuu kizimkazi
 
Hata kama hatuamini katika mambo ya unajimu, lakini utabiri huu ulifanyika wakati JK akiwa madarakani lakini kama vile pamoja na nguvu kubwa, ulaghai nk lakini mbona kama uko kwenye ukweli?
 
Attachments

  • IMG-20250412-WA0011.jpg
    IMG-20250412-WA0011.jpg
    54.4 KB · Views: 31
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.

Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.

Yale ya wajibu wenu hamfanyi, Ripoti ya CAG inaletwa kila mwaka bungeni ili mchukue hatua HAMCHUKUI bali kupokea vibahasha tuu, hamjui ni wajibu wenu?

Mawaziri wanavurunda nyie kazi yenu kuomba aje jimboni muongozane ili kuangalia jambo lililo feli tu jee ndio wajibu wenu?
Sasa kama wananchi. Hatutachagua mbunge wa CCM maana mnakiri kila lifanyikalo ni "mama" nyie ni kushangilia tuu labda mhe.

LUHANGA MPINA pekee na mnapanga kumfukuza au kutompitisha.

Kama uchaguzi utafanyika maana naamini Reforms zitafanyika na Chadema atashiriki wabunge wa vigelegele hawarudi tena bungeni na kuhusu huyo "Mama" ngoja tusubiri kampeni tutamhukumu wenyewe kama anafaa au tutimize ule utabiri wa Sheikh Yahaya alioutoa wakati wa Mkwere JK?

Tuwasaidie hawa wasemao wameshindwa na wawezacho ni kumsifia "mama" kuwa anaweza na kufanya yote.
Kweli mkuu, Wabunge wamekosa Uzalendo,hata kujua kama lipo Bunge hatuna nalo mvuto, Maana ni makofi tuu,Mawaziri hawakutani na changamoto kabisa.Ni makofi,kusifia na kusifia familia zao.
 
Back
Top Bottom