Wabunge wa CCM 'walioanguka' kura za wajumbe

Duh kumbe Bado Kuna vikao Tena vya maamuzi ya mwisho?
 
Hanisi!!
 
CCM wajanja sana ,wanatengeneza kik ili wazidi kutrend..
 
Unachoongea chief upo sawa embu soma hii
 

Attachments

  • Screenshot_20250805_114053_Chrome.jpg
    329.1 KB · Views: 18
hao niliowabold hawakuwa wabunge wa CCM bali wabunge wa Wahuni akina Ndugai
 
Mtwara Mjini, Joel Arthur Nanauka ameibuka mshindi kwa kura 2,045 dhidi ya Hassan Mtenga Mbunge anayemaliza muda wake aliyepata kura 1,607.
Hapo kwa Nnauka nimepaelewa sana. Kijana amepima upepo akaona anaweza kupenya na kuingia mzima mzima. Hongera kwake.
 
Duh kweli maisha hayana mwenyewe, Yani Fadhili Ngajilo anamzidi Msigwa? Nina uhakika 100%, Msigwa agombee Chadema, Ngajilo angombee CCM, Msigwa anachukua ushindi
CHADEMA hatushiriki uchaguzi! No reforms no election! Ila wakisema tu tunashiriki CCM chali! Ndiyo maana CCM inataka ibaki peke yake!
 
NAMBA 26 JINAN HALIKO SAWA AISEE UNATWEZA UTU WA MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…