Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

Chadema wamekua siku zote anticlockwise wakiamini wao ndio wanatakiwa waongoze nchi huku hawana ridhaa ya wananchi. Ubabe wao sio kuipinga serikali kwani hii ndio shughuli yao taabu ni kushindana na serikali. Kutaka hoja zao za kiliberali zifuatwe na serikali wakati serikali inaongozwa na ccm yenye itikadi ya kijamaa na ajenda ya kuleta maendeleo kwa umma bila kumwacha mtu.
 
Magufuli amekimbia ikulu kaenda kujificha chato,yeye pekee ndiye ameamua kufuata ushauri wa WHO kuhusu isolation na social distancing. Halafu anatuambia chapeni kazi tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hotuba nzuri sana kaongea kweli tupu naweza sema kawaumbua chadema kwa uongo wao MUNGU mbariki mwigulu
Uzuri Mungu sio mnafiki,ndio maana mlipomshambulia Mbowe kuuguliwa na mwanaye Corona,akajibu kwa vifo huko CCM!Sasa endeleeni mtashangaa!
 
Bunge linaweza likasogezwa mbele kidogo lakini hospitalI lazima kazi ifanyike daily.
Umeambiwa wananunua barakoa kwa fedha zao za mishahara.Akiwa hana vifaa kamili vya kujikinga awe Dr au Muuguzi lazima atakimbia.We we utakubali akuhudumie?Ungekuwa wewe ungebaki kazini? Unafahamu motisha na maslahi kama nyongeza za mishahara yao walipata lini Mara ya mwisho?
Wabunge hoja yao ni tofauti kwa mtazamo wao na haina ulinganifu na hali wanayopitia watumishi wa afya(Kama unao ushahidi kuwa wamekimbia)
Hoja ya msingi,serikali imetimiza wajibu wake?Mh.Mzee Baba yu wapi atupe faraja?
 
Uzuri Mungu sio mnafiki,ndio maana mlipomshambulia Mbowe kuuguliwa na mwanaye Corona,akajibu kwa vifo huko CCM!Sasa endeleeni mtashangaa!
MUNGU hana roho mbaya ya kichadema usimsingizie
 
Sasa mbona CCM mnachomoka kwa kasi ya 4G?Mungu hadhihakiwi!
Kwa akili zako ndivyo unavyo fikiri hivyo, umesahau ipo kwa DJ mpaka Sasa mtoto wake kila akipima ipo au mpaka dj afe kwa Corona ndio ujue Corona haina mwenyewe?
 
Yeye Amiri Jeshi Mkuu yuko wapi? Makamanda wake wanakufa hata kuwaaga anaogopa?
 
Chadema tumeambiwa wamejilockdown kwa siku 14. Hiyo mpaka iishe duniani umeipata wapi?
 
Yeye Amiri Jeshi Mkuu yuko wapi? Makamanda wake wanakufa hata kuwaaga anaogopa?
Jibu hili hapa ukishamaliza futa huo uharo wako
Your browser is not able to display this video.
 
Moja ni la lazima (watu wa huduma ya afya wanahitajika kuhudumia watu kwa wakati huu), Nyingine ni unnecessary (Kuna umuhimu gani wa kuwa Dodoma sasa hivi, na leo wapo Dodoma kesho wapo kwenye majimbo) kwanza hio ni risk kwa wananchi wengine....., Kwahio moja linazuia maafa jingine linaweza kusababisha maafa...
 
Kwa hiyo wenzake wote hawana vijiji kwao? Mbona Majaliwa hajaenda kujificha Ruangwa?
Hivi kichwani umejaa kamasi au? Kama jibu umepewa na bado unafikiria kumlinganisha raisi na majaaliwa au na mtu yeyote yule huoni Kama unajidhihirisha ufahamu wako ni mdogo sana? Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu awe sawa na mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…