Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Ni mjomba, na mjomba ni mamaKwani wewe Mbowe ni mama yako? Macho kumchuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mjomba, na mjomba ni mamaKwani wewe Mbowe ni mama yako? Macho kumchuzi
Chadema wamekua siku zote anticlockwise wakiamini wao ndio wanatakiwa waongoze nchi huku hawana ridhaa ya wananchi. Ubabe wao sio kuipinga serikali kwani hii ndio shughuli yao taabu ni kushindana na serikali. Kutaka hoja zao za kiliberali zifuatwe na serikali wakati serikali inaongozwa na ccm yenye itikadi ya kijamaa na ajenda ya kuleta maendeleo kwa umma bila kumwacha mtu.Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
Mamako mbona amekeketwa na hatuongei
Uzuri Mungu sio mnafiki,ndio maana mlipomshambulia Mbowe kuuguliwa na mwanaye Corona,akajibu kwa vifo huko CCM!Sasa endeleeni mtashangaa!Hotuba nzuri sana kaongea kweli tupu naweza sema kawaumbua chadema kwa uongo wao MUNGU mbariki mwigulu
Umeambiwa wananunua barakoa kwa fedha zao za mishahara.Akiwa hana vifaa kamili vya kujikinga awe Dr au Muuguzi lazima atakimbia.We we utakubali akuhudumie?Ungekuwa wewe ungebaki kazini? Unafahamu motisha na maslahi kama nyongeza za mishahara yao walipata lini Mara ya mwisho?Bunge linaweza likasogezwa mbele kidogo lakini hospitalI lazima kazi ifanyike daily.
MUNGU hana roho mbaya ya kichadema usimsingizieUzuri Mungu sio mnafiki,ndio maana mlipomshambulia Mbowe kuuguliwa na mwanaye Corona,akajibu kwa vifo huko CCM!Sasa endeleeni mtashangaa!
Sasa mbona CCM mnachomoka kwa kasi ya 4G?Mungu hadhihakiwi!MUNGU hana roho mbaya ya kichadema usimsingizie
Una maneno ya KISHETANI sana
Kwa akili zako ndivyo unavyo fikiri hivyo, umesahau ipo kwa DJ mpaka Sasa mtoto wake kila akipima ipo au mpaka dj afe kwa Corona ndio ujue Corona haina mwenyewe?Sasa mbona CCM mnachomoka kwa kasi ya 4G?Mungu hadhihakiwi!
Yeye Amiri Jeshi Mkuu yuko wapi? Makamanda wake wanakufa hata kuwaaga anaogopa?Just thinking aloud:
Baadhi ya wauguzi na watumishi wengine wa afya mahospitalini wakiwemo madaktari tumeambiwa wamekuwa wakikimbia vituo vyao vya kazi kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari la corona. Hali hii imechangiwa zaidi kwa watumishi hawa kutopewa vifaa vya kujikinga na maambukizi haya, yaani PPE (personal protective equipment). PPE is not just a mere mask! It is more than that.
Tumeambiwa pia kuwa wabunge wa Chadema wamekimbia kituo chao cha kazi kwa kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari. Tumeambiwa kuwa wabunge hawa wameenda kuji lockdown kabisa kabisa majumbani kwao hadi gonjwa hili litakapotoweka duniani. Wabunge hawa wakiwa kituoni kwao kazini hupatiwa barakoa za N95 free of charge, wakati wale wauguzi hospitalini hulazimika wengi wao (hasa wa hospitali za binafsi) kujinunulia barakoa zao za kiwango cha chini kwa bei ya sh 3,000/.
Sasa tofauti ni ipi kati ya wabunge hawa na wauguzi hawa ambao tunaamini wote wako kwenye frontline katika vita hii dhidi ya nduli Corona? Mbona wote wame-retreat siyo backline bali backhome?
Ni mtazamo wako tuUna maneno ya KISHETANI sana
Chadema tumeambiwa wamejilockdown kwa siku 14. Hiyo mpaka iishe duniani umeipata wapi?Just thinking aloud:
Baadhi ya wauguzi na watumishi wengine wa afya mahospitalini wakiwemo madaktari tumeambiwa wamekuwa wakikimbia vituo vyao vya kazi kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari la corona. Hali hii imechangiwa zaidi kwa watumishi hawa kutopewa vifaa vya kujikinga na maambukizi haya, yaani PPE (personal protective equipment). PPE is not just a mere mask! It is more than that.
Tumeambiwa pia kuwa wabunge wa Chadema wamekimbia kituo chao cha kazi kwa kuogopa kuambukizwa gonjwa hili hatari. Tumeambiwa kuwa wabunge hawa wameenda kuji lockdown kabisa kabisa majumbani kwao hadi gonjwa hili litakapotoweka duniani. Wabunge hawa wakiwa kituoni kwao kazini hupatiwa barakoa za N95 free of charge, wakati wale wauguzi hospitalini hulazimika wengi wao (hasa wa hospitali za binafsi) kujinunulia barakoa zao za kiwango cha chini kwa bei ya sh 3,000/.
Sasa tofauti ni ipi kati ya wabunge hawa na wauguzi hawa ambao tunaamini wote wako kwenye frontline katika vita hii dhidi ya nduli Corona? Mbona wote wame-retreat siyo backline bali backhome?
Jibu hili hapa ukishamaliza futa huo uharo wakoYeye Amiri Jeshi Mkuu yuko wapi? Makamanda wake wanakufa hata kuwaaga anaogopa?
Kwa hiyo wenzake wote hawana vijiji kwao? Mbona Majaliwa hajaenda kujificha Ruangwa?Jibu hili hapa ukishamaliza futa huo uharo wako
View attachment 1437561
Hivi kichwani umejaa kamasi au? Kama jibu umepewa na bado unafikiria kumlinganisha raisi na majaaliwa au na mtu yeyote yule huoni Kama unajidhihirisha ufahamu wako ni mdogo sana? Raisi wa nchi na amiri jeshi mkuu awe sawa na mbowe?Kwa hiyo wenzake wote hawana vijiji kwao? Mbona Majaliwa hajaenda kujificha Ruangwa?