Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Mshahara washakula
Labda wa mwezi ujao
Na supika alivochizi atawanyima
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara washakula
Ni kitendo cha uzalendo sana, wabunge kwa siku posho 300,000/= wameokoa posho ngapi?Saccos wamekimbia Bunge lakini tulishawazoea siyo mara ya kwanza kukimbia hata bunge la katiba walikimbia lakini leo wanataka Katiba Mpya!
Aisee haujapona gono mpaka Leo? LA yule wa pale kwa mishkaki ya mia tatu tatu..hahahahahaTetesi nilizopata ni kuwa wabunge wote Wa chadema wanaumwa corona wanaji lock down wajifukizie
Nchi inaendeshwa kwa utaratibu na sio anavyotaka kila mtu. Janga la corona lisichukuliwe kwa minajili ya kujipatia umaarufu wa kisiasa.Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
Hili ni gazeti la lini?Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
Wabunge wa Chadema wameweka silaha chini za vita dhidi ya corona mitaani wametoroka wameenda kujifungia ndani yaani Lockdown .
Mitaani wamewaachia na kuwazitia wanachama wao ndio wapambane NATO
Kuwa wao watakuwa wanauliza tu wanachama wao kwa simu au kwa watsap kuwa vipi vita ya corona huko mitaani inaendeleaje wakiwa vyumbani!!!!
Hawa ndio hupenda kujiita makamanda huku wakivaa nguo za jeshi la mgambao!!!
Watoto wadogo kwani wana tatizo gani hadi uwafananishe na wabunge wa CHADEMA unaoona kuwa wameshuka haMkuy
Kususa
Utashangaza wabunge vilaza wanaendelea kwenda bungeni ili waambukizane vizuriMnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
😅😅😅😅😅😅,mkuu hiyo uliyomchapa inaitwa KO![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] vipi wabunge wa ccm wapo mitaa ipi wakijumuika na Wananchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hawa jamaa ni wapuuzi sana,serikali inasisitiza kuepuka mikusanyiko lakini kama si lazima sana mtu abaki ndani!Yenyewe inakuja kutetea mikusanyiko,kwamba watu waende wakusanyike kupambana na Corona!Hili ni gazeti la lini?