Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Ndio wampuuze mwenyekiti wao?Hao wamebaki wabunge wa CHADEMA kwa jina tu.
Lwakatare kama sijakosea alishasema hatarudi bungeni, huyo Jaffary nae hivyo hovyo alisema anataka kufanya biashara zake; sioni tatizo wakiamua kufuata njia wanazotaka wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app