LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Lazima kuongoza nchi/watu kwa kuitii katiba.Mkuu katiba sio msaafu, watu ndiyo wenye matatizo
Lazima kuongoza nchi/watu kwa kuitii katiba.Mkuu katiba sio msaafu, watu ndiyo wenye matatizo
Kwa sasa jpm Na mbowe nani kazidi kwa hilo? Muulize Hussein Bashe.
Haaha, hongera kwa maoni yako.Cha msingi uchaguzi Mkuu utaamuaLakini nadhanI uongozi wa CHADEMA unatakiwa kujitathimini kwa sababu kwa sasa chama hakina nguvu tena. Hata uchaguzi ujao sioni dalili ya chama hiki kuwa na mbunge hata mmoja. Kosa la kwanza ilikuwa kumkaribisha Loasa na la pili ilikuwa kutangaza UKUTA then wakaogopa kutekeleza.
Mara mia huo, huu Wa ndani ya chama hatari.Hao wangekuwa Ni wabunge Wa ccm wangeisoma nambaHuu usaliti mnauona hivi sasa, hamuonii usaliti wenu mnapokwenda kwa mabeberu kuwasaliti Watanzania wenzenu?
Hatari sana, jeshini adhabu ya usaliti Ni kubwa sana.
Tatizo huko ccm atakuwa Na nidhamu kwa chama?Silinde ndie mbunge mwenye akili nyingi mno kuliko mbunge yeyote wa upinzani katulia akiongea ana hoja za nguvu Hana jazba Mimi nilianza kumsifia mapema kabisa Naiomba CCM wasisite kumchukua ni Asset
Ni kiongozi mzuri ambaye CCM waweza kuwa naye
Sema tu chadema Wana matatizo alistahili kuwa mwenyekiti taifa au katibu mkuu
karibu sana jukwaani kamandaHao Wabunge wa CHADEMA walioingia Bungeni kinyume na Maelekezo ya Chama kupitia Mwenyekiti Mhe. Mbowe Ni WASALITI WAKUBWA!
joined 3 april , utajuaje nguvu ya chadema mjomba kwa ugeni huo ?Lakini nadhanI uongozi wa CHADEMA unatakiwa kujitathimini kwa sababu kwa sasa chama hakina nguvu tena. Hata uchaguzi ujao sioni dalili ya chama hiki kuwa na mbunge hata mmoja. Kosa la kwanza ilikuwa kumkaribisha Loasa na la pili ilikuwa kutangaza UKUTA then wakaogopa kutekeleza.
Huu usaliti mnauona hivi sasa, hamuonii usaliti wenu mnapokwenda kwa mabeberu kuwasaliti Watanzania wenzenu?
[emoji16][emoji1]Kwi Kwi Kwi
Hahhahahaha.... Kwanini wasiwafukuze?
Yani unakaa na nyoka ndani alafu unatoka nje unapiga kelele unasema nataka wewe nyoka utoke huko ndani ya nyumba yangu!
Hizi ni akili au matope? Au mnawaogopa?
Chadema ni mali ya Mbowe, Mdee, Lema na sasa Bulaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe unajua maana ya MABEBERU au unapayuka tu kama mlevi?
Beberu Ni mtu anayetawala kwa mabavu au simply MKOLONI. Beberu hapa Ni JPM anayelazimisha vitu kuhusu Covid-19 pasi na kusikiliza Ushauri wa Wataalamu wa Afya!
Unachekesha maana karne hii barua hazipelekwi kwa mkono.Mkuu usifanye siasa uchwara, yule mkurugenzi Wa ubungo mpaka Leo ameshindwa kumtaja MTU aliyepeleka ile barua, swala LA hawa wabunge Ni usaliti.usizunguke.
Kwani Mbowe ni Mungu au ndio anaye waonjesha wenzake Sumu?Ndiyo kusema mwisho wa enzi? Nini maana ya wabunge wanaopuuza agizo la Mbowe kuongezeka?
Je kwa hali hii udikteta unalipa?View attachment 1441102
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali ya Mbowe kuliko JPM!Kwani Mbowe ni Mungu au ndio anaye waonjesha wenzake Sumu??
Hii ndio shida ya kuongoza chama kama mali binafsi