Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

JPM baada ya 10 years anaondoka sasa afadhali ni yupi Kati ya hao wa Maisha na mali binafsi na Yule wa muda.
Akili za kushikiwa changanya na zako
Mimi huwa nachanganya na zangu,ndio maana nilipoona JPM anakimbiza familia kuificha kijijini nami nikaikimbiza fastaa huko kijijini,nikabaki mwenyewe mjini napambana!
Kwenye hilo la kujiongeza niko makini!
 
Mbunge wa Moshi mjini anaakili Sana sema yupo katikati ya kundi la mazuzu.
 
Hahhahahaha.... Kwanini wasiwafukuze?

Yani unakaa na nyoka ndani alafu unatoka nje unapiga kelele unasema nataka wewe nyoka utoke huko ndani ya nyumba yangu!

Hizi ni akili au matope? Au mnawaogopa?

Chadema ni mali ya Mbowe, Mdee, Lema na sasa Bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana kwa hiyo comment yako kabla sijakupa LIKE.
 
Back
Top Bottom