Chadema haitahangaika kufukuza mtu kwenye ubungeHao wabunge Ni wawakilishi wa wanachi wenye vyama na wasio na vyama
Hakuna kujiuzulu kwani walipigiwa kura na chadema tu? Spika hata wakileta barua ya kuwafukuza kaitupe vyoo vya bunge
Silinde ndie mbunge mwenye akili nyingi mno kuliko mbunge yeyote wa upinzani katulia akiongea ana hoja za nguvu Hana jazba Mimi nilianza kumsifia mapema kabisa Naiomba CCM wasisite kumchukua ni Asset
Ni uamuzi sahihi kuwatimua maana kama mnaamua kwa pamoja mfanye jambo fulani lakini mkitawanyika wengine wanaenda kufanya yao basi hakuna sababu ya kuendelea kuwa nao, mkiendelea kukaa nao itakuja kuwagharimu zaidi maana hawaaminiki tena
Mtajijua wenyewe Kila mkiambiwa rekebisheni mambo yenu ya ndani ikiwemo demokrasia ndani ya chama hamskii kazi yenu mtu akiondoka mnaimba tu wimbo wa ohh wamenunuliwa kaeni na ubwege wenuChadema haitahangaika kufukuza mtu kwenye ubunge
Bila nidhamu organization yeyote haiendi na wala haitimizi malengo yake. Hao wabunge waliokeuka maamuzi wafukuzwe tu. Chama kitapata wabunge wengine. The party is at war. Hakuna kuleana.
Wanajitoa fahamu. Eti wameshasahau akiwamo Majawali, walivyonyamazishwa na Jiwe wakati wa sakata la mfuko wa KOROSHO.Wabunge wote wa JMT wanawakilisha vyama vyao, hakuna mbunge binafsi, sasa ninyi ambao kutwa ni siasa za CCM vs Chadema sasa mpate akili ma kuona umuhimu wa katiba mpya ambayo uwakilishi binafsi utambuliwe.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Silinde ndie mbunge mwenye akili nyingi mno kuliko mbunge yeyote wa upinzani katulia akiongea ana hoja za nguvu Hana jazba Mimi nilianza kumsifia mapema kabisa Naiomna CCM wasisite kumchukua Ni Asset
Ni kiongozi mzuri ambaye CCM waweza kuwa naye
Sema tu chadema Wana matatizo alistahili kuwa mwenyekiti taifa au katibu mkuu
Anakuja CCM mtampa ukatibuSilinde ndie mbunge mwenye akili nyingi mno kuliko mbunge yeyote wa upinzani katulia akiongea ana hoja za nguvu Hana jazba Mimi nilianza kumsifia mapema kabisa Naiomna CCM wasisite kumchukua Ni Asset
Ni kiongozi mzuri ambaye CCM waweza kuwa naye
Sema tu chadema Wana matatizo alistahili kuwa mwenyekiti taifa au katibu mkuu
Eti wajiuzulu,nani ajiuzulu? wafukuzeni kama mnaubavu tuone
Wabunge wa Chadema kwa kauli moja wamependekeza kwamba Wabunge wasaliti walioamua kuhudhuria bunge la corona na kupuuza msimamo wa chama chao wa kujitenga na bunge hilo kwa wiki mbili kama mwongozo wa WHO unavyoelekeza ili kuzuia maambukizi ya Virus hatari vya corona , wametakiwa kuachia nafasi zao za uongozi ndani ya chama ukiwemo ujumbe wa kamati kuu
Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi bungeni Mh Ester Bulaya , amesema kwamba ni aibu kwa kiongozi anayeshiriki vikao vya maamuzi vya chama kwa nafasi yake ya uongozi halafu baada ya muda mfupi anapuuza mambo aliyoshiriki kuyaamua .
Ikumbukwe kwamba Chadema haihangaiki na Ubunge wa mtu yeyote , bali wasaliti wanatakiwa kuachia nafasi za uongozi ndani ya chama , ndio maana mpaka sasa Anthony Komu na Joseph Selasini bado ni wabunge .
Mnadhimu wa Kambi rasmi bungeni Mh Ester Bulaya ameandika hivi kwenye mtandao wa Twitter.
Sasa si muwafukuze uanachama.wabunge wamedhaminiwa na chama cha siasa , ni vema wakaheshimu chama chao kilichowadhamini
umedanganyika kirahisi sana !Mgawanyiko ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu!ni pigo kwa chadema!!
Alishasema anastaafu siasa.Namuona Mh Mbunge wa Moshi mjini Ndugu Jaffary Michael akiendelea na vikao vya Bunge Jijini Dodoma, wale wa Juzi wa mambo huyu Bwana alishahama CHADEMA? kama alihama sasa hivi anahudumu chama gani.
wasalam
namuona mjengoni au katazo la kutohudhuria vikao vya bunge yeye havimuhusuAlishasema anastaafu siasa.