G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Anakusanya za mwisho mwisho hana mpango tena na siasa.namuona mjengoni au katazo la kutohudhuria vikao vya bunge yeye havimuhusu
Anakusanya za mwisho mwisho hana mpango tena na siasa.namuona mjengoni au katazo la kutohudhuria vikao vya bunge yeye havimuhusu
Aliyesema ni mawazo ya mwenyekiti ni nani ?niliandika hapa siku si nyingi kwamba chama hakiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya mwenyekiti tu na nilisisitiza hapa kua wapo wabunge watakaidi hilo agizo, nikaishiwa kuitwa lumumba buku Saba. Ukweli ni kua wabunge wengi wa chadema hawapendezwi na 'amri' za mwenyekiti.
Leo hii wabunge wanashindwa kuwawakilisha wananchi eti kisa korona. Yaani kiongozi unakimbia majukumu unategemea utaaminiwa tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hichi anachokifanya Bulaya kina tofauti gani udikteta. Kila siku wanajifanya kupigania demokrasia ila kumbe tatizo lipo kwao hawajui nini maana ya demokrasia.Hayo yamebainishwa leo na na mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mh Ester Bulaya.
Anasema wabunge hao ni pamoja na David Silinde anatakiwa kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama.
Pia mbunge Marian Msabaha wamemtaka ajiuzulu nafasi yake ya ujumbe wa kamati kuu kwa kile kinachodaiwa kushindwa kufuta makubaliano na maagizo ya Chama.
Mh Ester Bulaya anasema kuwa hawawezi kamwe kuwavumilia wasaliti.
"Mimi kama mnadhimu mkuu wa kambi rasmi ya upinzani naunga mkono hatua zilichukuliwa na Chama" amesema Ester Bulaya.
Kama kufukuzwa wangewafukuza waliotangaza kuwa baada ya Bunge hili wanahamia chama kingine. Hawa wamewataka wajiuzulu katika nafasi za uongozi ndani ya chama chao ambazo walizipata baada ya kupigiwa kura na wanachama wa chama chao.Hao wabunge Ni wawakilishi wa wanachi wenye vyama na wasio na vyama
Hakuna kujiuzulu kwani walipigiwa kura na chadema tu? Spika hata wakileta barua ya kuwafukuza kaitupe vyoo vya bunge
Wamempuuuza mwenyekitinamuona mjengoni au katazo la kutohudhuria vikao vya bunge yeye havimuhusu
Sasa hichi anachokifanya Bulaya kina tofauti gani udikteta.Kila siku wanajifanya kupigania demokrasia ila kumbe tatizo lipo kwao hawajui nini maana ya demokrasia.
"Wametakiwa" hilo neno lina maana ya kulazimisha,yaani lazima wazivue nyazifa zao na hilo neno limebeba udikteta ndani yake maana yake ni amri na hauna nafasi ya kueleza mawazo na mtizamo wako.Dikteta angewafukuza. Hawa wametakiwa wajiuzulu wenyewe.
Amandla....
Hiyo ruzuku ni kodi yetu bwashee lazima tufuatilie!Mkuu , kwani wewe chadema walikunyimaga nini ...duuh!! Ukiamka ukilala niwewe na chadema
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia. Baada ya mei 30 tutasikia mengi sana.Ni vema Chadema wakatupa taarifa kamili kama wabunge wao wako kwenye karantini hawa tunaowaona bungeni kulikoni?
Sasa hivi mbunge wa Bukoba Mh Lwakatare ndio anachangia hotuba ya wizara ya viwanda na biashara na yuko mubashara TBC, Channel ten na Star.
Nyuma ya mh Lwakatare nawaona wabunge wa " kutosha" tu wa Chadema wakimshangilia mwenzao.
Ama Chadema imegawanyika au ndio imeishiwa pumzi!
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe!!Wasalimie pia
Wametumwa posho na wake zao
Hali ni tete pale Ufipa!Kuna siri kubwa nyuma ya pazia. Baada ya mei 30 tutasikia mengi sana.
Hiyo ruzuku ni kodi yetu bwashee lazima tufuatilie!
"Wametakiwa" hilo neno lina maana ya kulazimisha,yaani lazima wazivue nyazifa zao na hilo neno limebeba udikteta ndani yake maana yake ni amri na hauna nafasi ya kueleza mawazo na mtizamo wako.