Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

Wabunge wa CHADEMA waliohudhuria Bungeni, watakiwa kujiuzulu nafasi za uongozi Bungeni

It is very compassionate for Chadema

Pingapinga ya kila kitu haijawahi kuwa salama, wametetea Hadi mafisadi, Hadi kupinga maombi yetu kama Taifa, kitendo ambacho hakihusu siasa ajabu Sana hao watu,

Acha tuanze upya, Chadema ndo Kwa heri Yao, Ila ni kifo kibaya Sana aisee
 
Hapana. Ukitakiwa unakuwa na nafasi ya kujitetea au kukataa. Dikteta hakupi nafasi hio.

Amandla....
Zitto hakuwahi kupewa nafasi hiyo.

Ukisharuhusu demokrasia manake anaruhusu mawazo ya wengi ktk kufanya maamuzi,huu mchakato haukuhusisha mawazo ya baadhi ya watu na wana haki kuupinga.
 
Kwa hiyo kwa sasa yupo huru kuendelea kuhudhuria vikao kwa kuwa hana tena nafasi ya uongozi ndani ya chama chake?

Hii nguvu kubwa inayotumika kushinikiza wabunge waji-karantini haina tofauti na viboko wanavyopigwa watu wasiovaa barakoa ama wanaoonekana mitaani kwenye "locked down" shithole countries.
 
Upande wa upinzani ni CHADEMA peke yao? Au yalikuwa makubaliano ya vyama vyote vya upinzani? Na ukiangalia hata upande wa Chama Tawala wengi tu hawapo. Hivi nao wameitikia wito wa wakina Bulaya. Mimi ningeshauri hekima itumike na wale ambao wameamua kujitenga kwa sababu ya huu ugonjwa wasibezwe bila kujali chama chao. Wale walioamua kuendelea na shughuli za Bunge wafanye hivyo na wale walioamua kujitenga wasiwabeze.

Amandla...
 
Back
Top Bottom