johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Watabakia kuwa historia!It is very compassionate for Chadema
Pingapinga ya kila kitu haijawahi kuwa salama, wametetea Hadi mafisadi, Hadi kupinga maombi yetu kama Taifa, kitendo ambacho hakihusu siasa ajabu Sana hao watu,
Acha tuanze upya, Chadema ndo Kwa heri Yao, Ila ni kifo kibaya Sana aisee