NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wakuu
Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni.
KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za chama Ili kuinusuru serikali na fedheha ya kukosa UHALALI wake nchini ndipo zao la covid 19 likawepo Bungeni Hadi leo.
Haya yote yalitokea Baada ya vyombo VYA usalama kucheza ngoma ya ccm na kusahau Taifa ambalo ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa.
Wakati awamu ya sita inaingia Moja ya maagizo waliyopewa ni kuwaondoa wabunge wasio Halali Bungeni ambao wapo kinyume cha sheria!awamu hii ilishinda kuwaondoa KWA kuogopa kuwa serikali yake itapoteza uhalali wa kuwepo madarakani Sasa ina wakumbatia.
Hofu kubwa ni kuwa iwapo wakifukuzwa Bungeni CHADEMA inaweza ikagoma kuteua majina mengine ya wabunge KWA kutotambua uchaguzi wa 2020 hivyo serikali ya awamu hii kukosa UHALALI wa kisheria ndio maana purukushani za vikao viingi ikulu Hadi Sasa vinaendelea Ili chadema ilegeze misimamo au ikubaliane na haramu ya COVID 19 Bungeni Ili kuokoa uhalali wa serikali hii!
Agizo la Taasisi kubwa KWA awamu hii ni kitanzi KWA serikali na TISS kwani linaonyesha ulimbukeni wa madaraka wa makada wa chama na UZEMBE wa Taasisi nyeti kutoratibu matukio makubwa na muhimu ya nchi Hadi uhuni wa uchaguzi 2020 kuzaa uhuni mwingine wa COVID-19 na kuzaa na uhuni wa kutetea uvunjifu wa sheria Baada ya uhuni mbili kufanyika!!
Kinachoendelea ni kufanya compromise Ili uhuni wa uvunjifu wa shera uwe Halali Ili serikali hii ipate uhalali wa kuwepo madarakani!
Tujiulize je taasisi kubwa (the state)itakubali MAAGIZO yake kusiginwa na awamu ya sita tena kihuni KWA mara nyingine!!?
TUSUBIRI
Uchambuzi huru!!!
NB;
UHALALI ninao zungumzia ni wa Bunge kama mhimili ndani ya serikali!Bunge linapopata mtanziko wa ki demokrasia husababisha serikali kutokamilika na kutotambulika kama serikali ya ki demokrasia kimataifa na kuleta dosari za kiutawala!!!
Nadhani nimeeleweka!!