Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

Je unazungumzia vipi hizi kura za kwenye mabegi!
Propaganda tu hizo. Tuliosimamia uchaguzi tunafahamu kuwa CDM ilishindwa kwenye boksi la kura; waliachwa mbali sana kutokana Magufuli alikubalika sana na wananchi kuliko mwanaharakati LISSU ambaye kimsingi hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wapiga kura kwa hotuba zake ndefu zilizojaa huruma.
 
ukikua utaacha.
Ndipo huo uji ulioubeba kichwani ulipoishia kukusaidia kuwaza?TISS wanapaswa kujishughulisha na masuala nyeti ya taifa na siyo kubebeshwa maboksi ya kura hewa na kutumikishwa magumashi.Badilika!
 
RAMLI CHONGANISHI

YAANI UHALALI WA SERIKALI YETU UPIMWE KWA WABUNGE WA CHADEMA?

SERIKALI YETU INA BARAKA ZOTE ZA WANANCHI KWA KUWA TULIIPIGIA KURA ZA KUTOSHA CCM KWA KUWA NDIYO CHAMA PEKEE KINACHOWAUNGANISHA WATANZANIA NA KULINDA TUNU ZA TAIFA.

MIGOGORO YENU KTK VYAMA VYA UPINZANI MALIZENI HUKO HUKO KWENYE VYAMA VYENU.

Hadi nacheka kwa kushindwa kwako kumuelewa mleta mada!
 
Propaganda tu hizo. Tuliosimamia uchaguzi tunafahamu kuwa CDM ilishindwa kwenye boksi la kura; waliachwa mbali sana kutokana Magufuli alikubalika sana na wananchi kuliko mwanaharakati LISSU ambaye kimsingi hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wapiga kura kwa hotuba zake ndefu zilizojaa huruma.
Uongouongo haukufikishi popote na wala haukusaidii.Hivi,ni weye pekee ndiye ulisimamia chaguzi?
 
wanajua ila wahusika wenyewe bado wanakazania uongo wao kwamba chadema waliwapitisha yale matapeli 19...ina maana hujui kuna msaada huo wa EU wenye masharti hayo? hushangai hadi Ndugai aliendaga nje na Matiko kwenye mkutano wa mabunge sijui ya dunia ili ionekane nchi ina demokrasia ..hahahahaha
Ila Aya majitu, Ndugai, Jiwe, Bashiru kaa mijitu ilikuwa mishamba , roho mbaya, limbukeni, haina aibu,yaan iliona bunge kuwa CCM, kwa 99% Ni sifa,
 
Propaganda tu hizo. Tuliosimamia uchaguzi tunafahamu kuwa CDM ilishindwa kwenye boksi la kura; waliachwa mbali sana kutokana Magufuli alikubalika sana na wananchi kuliko mwanaharakati LISSU ambaye kimsingi hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wapiga kura kwa hotuba zake ndefu zilizojaa huruma.
Wahuni
Mnaendelea
Kujifariji jamvini!
 
Hoja ya kijinga kabisa. Katiba gani inayosema wakikosekana wabunge wa upinzani Bungeni basi Serikali iliyo madarakani inakosa uhalali. Basi yangetengwa majimbo ya upinzani peke yake wagombee wenyewe ili Bunge lisikose wapinzani.

Lazima mkubali ukweli kwamba hiki chama hakina mvuto wala ushawishi tena kwenye jamii, kwasabb ya madudu yanayofanywa na viongozi wenu. Wananchi wameshtukia ulaghai wao, wakishapewa ubunge wanajiimarisha kiuchumi wao wanawasahau wananchi waliowachagua.
Basi CCM ndo inamvuto furahi[emoji3][emoji3]
 
Propaganda tu hizo. Tuliosimamia uchaguzi tunafahamu kuwa CDM ilishindwa kwenye boksi la kura; waliachwa mbali sana kutokana Magufuli alikubalika sana na wananchi kuliko mwanaharakati LISSU ambaye kimsingi hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wapiga kura kwa hotuba zake ndefu zilizojaa huruma.
Jamani yaani nyie mangombe kazi ipo[emoji3]
 
Kwani kwenye uchaguzi haiwezi kutokea wananchi wakakikubali chama fulani kwa asilimia 98 na vingine kwa asilimia 2 tu?
 
RAMLI CHONGANISHI

YAANI UHALALI WA SERIKALI YETU UPIMWE KWA WABUNGE WA CHADEMA?

SERIKALI YETU INA BARAKA ZOTE ZA WANANCHI KWA KUWA TULIIPIGIA KURA ZA KUTOSHA CCM KWA KUWA NDIYO CHAMA PEKEE KINACHOWAUNGANISHA WATANZANIA NA KULINDA TUNU ZA TAIFA.

MIGOGORO YENU KTK VYAMA VYA UPINZANI MALIZENI HUKO HUKO KWENYE VYAMA VYENU.
Watu wanaumiza vichwa kuweka mambo sawa halafu unakuja na hoja dhaifu.Mara zoote hizi hoja dhaifu hazijengi bali huendelea kudhoifisha serikali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom