Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

Je unazungumzia vipi hizi kura za kwenye mabegi!
Propaganda tu hizo. Tuliosimamia uchaguzi tunafahamu kuwa CDM ilishindwa kwenye boksi la kura; waliachwa mbali sana kutokana Magufuli alikubalika sana na wananchi kuliko mwanaharakati LISSU ambaye kimsingi hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wapiga kura kwa hotuba zake ndefu zilizojaa huruma.
 
ukikua utaacha.
Ndipo huo uji ulioubeba kichwani ulipoishia kukusaidia kuwaza?TISS wanapaswa kujishughulisha na masuala nyeti ya taifa na siyo kubebeshwa maboksi ya kura hewa na kutumikishwa magumashi.Badilika!
 

Hadi nacheka kwa kushindwa kwako kumuelewa mleta mada!
 
Uongouongo haukufikishi popote na wala haukusaidii.Hivi,ni weye pekee ndiye ulisimamia chaguzi?
 
Ila Aya majitu, Ndugai, Jiwe, Bashiru kaa mijitu ilikuwa mishamba , roho mbaya, limbukeni, haina aibu,yaan iliona bunge kuwa CCM, kwa 99% Ni sifa,
 
Wahuni
Mnaendelea
Kujifariji jamvini!
 
Basi CCM ndo inamvuto furahi[emoji3][emoji3]
 
Jamani yaani nyie mangombe kazi ipo[emoji3]
 
Kwani kwenye uchaguzi haiwezi kutokea wananchi wakakikubali chama fulani kwa asilimia 98 na vingine kwa asilimia 2 tu?
 
Watu wanaumiza vichwa kuweka mambo sawa halafu unakuja na hoja dhaifu.Mara zoote hizi hoja dhaifu hazijengi bali huendelea kudhoifisha serikali.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…