Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

Weka hata paragraph basi dah,

Unatuumiza macho
 
Alafu Acha kuzusha mambo usiyokuwa na uhakika nayo

Ikulu ni taasisi kubwa so kuwa makini na mambo ambayo unahusisha kuhusu ikulu
 
Alafu Acha kuzusha mambo usiyokuwa na uhakika nayo

Ikulu ni taasisi kubwa so kuwa makini na mambo ambayo unahusisha kuhusu ikulu
Mkuu
Nimetukana!!?
Nani hajui
UNAFIKIRI COVID-19 sio mada huko kikaoni!!?
Ikulu ni yetu sote sio Mbinguni!!
Tuna haki ya kujadili yanayotrend!!!
 
Wewe Msu-qummer wa Gay-tor ukishiba mchembe unakuja kujambia jukwaa la great thinkers!
 
Nani aliamuru Nusrat Hanje atolewe jela usiku na asubuhi yake aapishwe kwenye kwenye gereji awe mbunge?
 
Ndipo huo uji ulioubeba kichwani ulipoishia kukusaidia kuwaza?TISS wanapaswa kujishughulisha na masuala nyeti ya taifa na siyo kubebeshwa maboksi ya kura hewa na kutumikishwa magumashi.Badilika!
haya TISS ni mapopoma nimekubali..... mkuu
 
haya TISS ni mapopoma nimekubali..... mkuu
Usihitimishe kwa kulipua tu.Ni kwamba,wanafanya shughuli zao muhimu kwa kiasi kidogo tena bila tija.Wanakomaa na kutumia nguvu na rasilimali fedha nyingi kwenye kuwaengaenga CCM.Hasa kwenye uhuniuhuni na wizi wa kura.
 
Nielimisheni. Hivi kama 2020 uchaguzi ungefanyika kihalali kabisa (achana na uchafuzi uliofanywa wa uporaji) na vyama vyote vya upinzani vikashindwa kihalali kabisa lakini wakagoma katu kuchagua wabunge hao wa viti maalum based on kura walizopata, serikali ingepata uhalali kwa namna gani?
 
haya TISS ni mapopoma nimekubali..... mkuu
Mkuu Mkuu
Wale walioshinda UBUNGE wangetosha kuuunda Bunge la kidemokrasia KABISA na HAYO yasingekuwepo!!
 
Mkuu
Nimetukana!!?
Nani hajui
UNAFIKIRI COVID-19 sio mada huko kikaoni!!?
Ikulu ni yetu sote sio Mbinguni!!
Tuna haki ya kujadili yanayotrend!!!

Sio mada kabisa hata Jana hawajaongea, so Acha kusingizia taarifa za taasisi kubwa

Ikulu sio chama cha upatu au kijiweni Tu unaweza kuamka na kusema Jana wamesema hiki na hiki

Ukiitwa udhibitishe utasema serikali ya manguvu na onevu
 
Mkuu
Nimetukana!!?
Nani hajui
UNAFIKIRI COVID-19 sio mada huko kikaoni!!?
Ikulu ni yetu sote sio Mbinguni!!
Tuna haki ya kujadili yanayotrend!!!

Covid haiwez kuwa mada ya rais kuongea kila anapokutana na mbowe, kama ingekuwa waliongea na rais akakubali kufanya mnachokitaka nyie then leo wale wadada wangekuwa nje ya Bunge muda mrefu Tu

Why mpaka sasa wapo?
 
Eu

Euro milion 900 na kunyimwa misaada fullstop!
 
Kwamba IPO HOFU kuwa wakiwafukuza itakuwa Haina uhalali kuwapo madarakani?

Sidhani kama Kuna HOFU ya namna hiyo. Naamini kilichopo, wanawakumbatia sababu ni Ile DHANA ilojengeka kuwa MKUBWA hakosei.

Wananchi wakiamua wameamua, wakikipa ushindi wa 98% chama Fulani hayupo wa kuhoji kama tu uchaguzi ulikuwa huru na HAKI. Walilazimika kuwakumbatia sababu wanahitaji pesa za WAFADHILI na Si HOFU ya kutokuwa na uhalali wa kutawala.

Pia nakushauri ndugu kutokukitaja kitengo hicho moja Kwa moja, inatosha tu kusema VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. Kwa maana Si Rahisi wakuu wa KITENGO hicho Kutoka public kujibu au Kutoa ufafanuzi wowote.
 
Pia maagizo ya unayoita THE STATE Kwa Serikali juu ya wabunge 19, unayo document hiyo? Kama ulisikia Mahali Si sawa kuweka wazi namna hiyo ndugu yangu. Bt hoja zingine ziko sawa.
 
Pia maagizo ya unayoita THE STATE Kwa Serikali juu ya wabunge 19, unayo document hiyo? Kama ulisikia Mahali Si sawa kuweka wazi namna hiyo ndugu yangu. Bt hoja zingine ziko sawa.
Kuna uzi humu wa Tumia akili wa operation Imesitishwa unaongelea hili!!kwenye komenti mmojawapo yake!!!tujaribu kujikumbusha humu jamvini
 
Kama maridhiano yatakua ya UWAZI, na ya HAKI Kwa pande zote mbili, issue ya hao wabunge itamalizwa kirahsi kabisa bila kuacha DOA Kwa uongozi wa Mh S. na Serikali Kwa ujumla, Kwa maana walikosea b4 na Awamu hii watataka KUJIKOSHA.
 
TISS ilitakiwa kuwa mgongo wa mwisho wa kuegemea dola katik kuendesha nchi kwa utawala bora.
Sasa kama TISS yenyewe ILITUMIKA KUVUNJA MAADILI ya kazi yao, hapo hatuna kitu.
Ni bora hata Rais wa nchi aelezwe mipaka ya kazi yake katika uteelezaji wa kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…