Wabunge wa COVID 19 na Hatma ya serikali ya awamu ya sita na kufeli KWA TISS 2020!

Kuna uzi humu wa Tumia akili wa operation Imesitishwa unaongelea hili!!kwenye komenti mmojawapo yake!!!tujaribu kujikumbusha humu jamvini
Ok, ungetumia neno TETESI, Kwa maana TUMIA AKILI mwenyewe hujificha kwenye NDOTO na MAONO ambayo mtu hawezi kumtight ushahidi mahakamani.
 
Kuna uzi humu wa Tumia akili wa operation Imesitishwa unaongelea hili!!kwenye komenti mmojawapo yake!!!tujaribu kujikumbusha humu jamvini
Leo ndo nimesoma Uzi huo, ndugu kumbe Umesoma maelekezo yote na Bado ukashindwa kujua kuwa Katiba mpya itatangulia kwanza kabla ya uchaguzi wowote!

Na Kwa move maridhiano yanayoendelea ni dhahiri kuwa yule mstaafu Hana tena access na jikoni. Nikijumlisha na kulinganisha hili na lile, Bado hesabu ya kupatikana KATIBA mpya inabaki 2026.
 
Ivi mnadhaani European Union hawajui ujinga uliofanywa na CCM 2020, kwamba hawana delegations yao hapa nchini, kwamba hawawasiliani na wapinzani kina Lissu,,, wanajua kila kitu
Tusijidanganye kuwa eti European Union wanawategemea Lissu na/au upinzani kufahamu au kupata habari hapa Tanzania. Naweza kuwahakikishia kwamba wanafahamu mengi kuliko hata hao wapinzani na akina Lissu.
 
Mwanzoni nilivyosoma sikuelewae kabisa hasa mwenendo wa mwanzo kabisa wa serikali Kumbuka kesi ya MBOWE ilipoteza maboya kabisa ya MAELEKEZO yale ya Tumia akili ni kana KWAMBA upinzani ulikuwa unaendelea kufa kimya kimya!!angalau Sasa naona baadhi ya MAELEKEZO yale yanafanyiwa kazi KWA speedy FULANI japo mipango ya huyu mama kugombea 2025 sijui kama BADO upo au VIPI!!
TUSUBIRI!
 
Alipoambiwa afanye KAZI WAZEE hawatomwingilia ktk majukumu yake, hapo ndipo ..z.. e..e kajipenyezaa kajivika ustarling.

KESI Ile yote ni kutaka tu kumvuruga na kumgombanisha na pande zote, hata hii habar ya kufuta LEGACY ni chuki binafsi tu za ..z...e..e yule.

Hata bwawa lile walitaka lifukiwe Eti, na miradi yote aloanzisha bwana yule iachwe bila kujali pesa nyingi ilozamishwa Kodi ya wananchi.

Tungeenda kubaya sana kama nchi. Mpango wa kuendelea walkaa kimya bt hamna kitu kama Iko, capacity capacity capacity👎
 
Mkuu
Kuna kistory cha yoga kinaendelea kinaonekana kuwa eti new CEO wa kampuni anapata back up ya mzee mmoja mkongwe Ili agombee 2025 UCEO wa kampuni KWA masharti asiruhusu Mtoto wa Born town na mtoto February marope wasigombee UCEO in the future!!!?ukipata Muda pitia Pia!!
 
Siku demokrasia itakapo kuja Tz , nchi itapiga hatua kubwa kimaendeleo.
 
Nimesoma, kajibiwa hakuna plan itayobadilika, iyo movie ya yoga na t.akili DIRECTOR ni mmoja ila waleta ujumbe wanareport ktk angle tofauti. Message hazpingani.
 
TISS ni taasisi ya ovyo kuliko Polisi.
Tiss iliyoshindwa kumjua Delilah aliyekuwa anavujisha siri nzito nzito za serikali zikiwa za moto tena mchana kweupe? [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kama hujui lolote sio lazima kuchangia.
 
Tiss iliyoshindwa kumjua Delilah aliyekuwa anavujisha siri nzito nzito za serikali zikiwa za moto tena mchana kweupe?

Hoja haipigwi RUNGU, inajibiwa Kwa hoja iliyo Bora zaidi. Mwl Nyerere said. Hakuna hoja ya kijinga, UPUMBAVU ni kudhani unajua Kila kitu.
 
COVID 19 WAONDOKE BUNGENI CHADEMA IWACHAGUE WENGINE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
WAFADHILI NDIO WENYE SAUTI SIO WANANCHI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Kama ndivyo hakina Mvuto mnahangaika Nao wanini??
 
Hakuna kitu kama hicho kama wanaamini waliibiwa kura wasipeleke majina kama wakipeleka chadema kitakuwa chama cha kihuni kuliko hata sisiemu
 
nadhani nyie ndio mazuzu wenyewe
hakuna aliyesema kuwa ni katiba isipokuwa kama kutakuwa hakuna upinzani bungeni basi serikali itakosa euro million 900+ kutoka EU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…