Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mkoa nani aliuweka na nan anataka kuumega?Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!!! Alianza zamani kufanya hujuma zake akapewa wilaya ya Chato iliyomegwa kutoka Kagera na sasa wanataka wamege wilaya zingine eti wapate hadhi ya mkoa!!
Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.
Kumbe Chato kuwa wilaya ilikuuma,,mbona kuanzishwa kwa wailya ya kyerwa karagwe na wilaya ya misenyi hakikuuma?Sijaelewa kwanini unasema mkoa usimegwe.Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi...
Unamwakilisha nani zaidi ya ujinga wako? Wanyambo na wahangaza wangependa hata kesho waachane na wahaya ili nao wawe huru na kutambulika. Nimewahi kusoma somewhere hii kitu nikashangaa sana kuwa kumbe kuna makabila mengine Kagera zaidi ya wahayaKama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi...
Hivi unajua huo mkoa wa Kagera nao ulimegwa kutoka mkoa wa Mwanza? Kichwa chako kina pumba!Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi....
Mkuu Omutontozi, jee wewe una undugu na Mkuu britanicca ?Kama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!!! Alianza zamani kufanya hujuma zake akapewa wilaya ya Chato iliyomegwa kutoka Kagera na sasa wanataka wamege wilaya zingine eti wapate hadhi ya mkoa!!
Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.
Marehemu japo halaumiwi, lakini madhara aliyoisababishia nchi, kutoweka yote, itachukua miaka mingi.Alikuwa Tatizo kwa vibaka
Kwani wewe mleta mada kabila gani? Kagera ina makabila kibao mlikutana lini na makabila yote ya Kagera kuwa yasimegwe kwenda mkoa mwingine?
Samia naye si anauza Bagamoyo, na hela zote ni zake na mawaziriKama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera. Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!!! Alianza zamani kufanya hujuma zake akapewa wilaya ya Chato iliyomegwa kutoka Kagera na sasa wanataka wamege wilaya zingine eti wapate hadhi ya mkoa!!
Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.
Mama Tozo naye kauza BagamoyoNadhani suala siyo kabila bali umuhimu wa huo mkoa mpya haupo.
Tufike mahali, tuseme sasa hakuna tena kuongeza mikoa, jambo la muhimu ni kuongeza Halmashauri.
Geita jina zuri chato jina ka dawa za kienyejiKama Samia anahamu ya kumuenzi Magufuli kwa kuwapa mkoa "watu wake" anaweza kufanya kitu kimoja simpo
Aubadili jina mkoa wa Geita auite Chato, kisha aifanye chato kuwa ndo makao makuu ya huo mkoa wa Chato
Kagera aiache hivyohivyo, asiguse kabisa mkoa huo adhimu
Kwa katiba hii rais ni kama Mungu, anaweza kuwaua wahaya wote na asishitakiwe popote.Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.
Sio akina azori, Lissu na Ben saanane?Alikuwa tatizo kwa utopolo kama wewe!
Akina azori au ben au Lissu?Alikuwa Tatizo kwa vibaka
Jitengeni mkuu kama Tigray manake hamna maana kupinga devolutionsKama Chato wanataka mkoa wapeni bila kumega hata robo heka ya ardhi Kagera.
Magufuli alikuwa mkabila yaani alikaa chini na ndg zake wakapanga kumega mkoa Kagera utadhani mali yao binafsi!!! Alianza zamani kufanya hujuma zake akapewa wilaya ya Chato iliyomegwa kutoka Kagera na sasa wanataka wamege wilaya nyingine eti wapate hadhi ya mkoa.
Tutawaadabisha wote watakaojichanganya, tuko tayari kwa lolote, ukabila mmeuanzisha nasi tutamalizia liwalo na liwe.