Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

Mbona wenye wabunge wenye wilaya tajwa hawajalalamika wala kusaini hiyo barua maoni. Hakuna mbunge wa Biharamulo hapo wala mbunge wa Ngara. Halafu bado wanaongelea ukabila at this erra ?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Yaan nimeshangaa hata mm....ukitembelea hayo maeneo utaelewa kwann chato iwe tu mkoa.....nauli ya kutoka bukoba mjini mpaka ngara ni 22,000elfu...biharamulo ni pori kabisa plus kakongo ,kibondo na runzewe ,rusahunga hakuna maendeleo kabisa ni hekari nyingi kiasi kwamba majambazi huteka mabasi huko na hakuna usalama wa kutosha.....

Wakiweka mkoa hata barabara ya geita runzewe, nyakanazi ,kibondo ,kakonko ,kasulu hadi kigoma itajengwa kwa lami...sasa hizi porojo za nshomile hizi zimejaa hujuma tu
 
Hivi ndani ya ccm kuna makundi mangapi ?
 

Mkuu chato na Geita ni umbali mkubwa sana. Kama unataka kutumia ndege ni kheri upandie mwanza kuliko Chato. Pia Chato ni kijijini hakuna mtumishi wa Geita ataishi chato ktk nyumba za NHC. ile miradi hasara best option ni kupageuza tu mkoa ili pawe center.
 
Wahuni tu hao na wamejaa WIVU
 
Kumbe wabunge wa Bukoba, nilifikiri wabunge wa Ngara na Biharamulo maeneo yanayopendekezwa kumegwa...nyie wahaya acheni ubinafsi mnajidai leo ndio mnazithamini Ngara na Biharamulo pathetic!
Wahaya ni wabinafsi, ukitaka kuwajua nenda uwanja wa fisi, wanafanya mambo ya ajabu lakini ukiwauliza wanajibu bila aibu. Hawa watu ni hatari Sana, nyerere aligundua mapema na akawapiga pini.

Matatizo ya nchi hii yametokana na dhana chafu za Hawa jamaa....vita ya kagera na Iddi Amini walijifanya wao ni waganda, waganda kyaka..hawakutaka sera za nyerere, kwa hio wajitenge na nchi, Hadi leo tunaumia kwa sababu ya ubinafsi wao.

Ombi langu, wapuuzwe, hawajawahi kuwa na nia njema na nchi yetu.
 
Haya maneno nenda kawaambie wapumbavu wenzio wa Chato. Tulikwishapata hasara wakati wa Magufuli, hatutaki tuendelee kupata hasara zaidi.
 
Basi hao siku moja unaosema Wana asiri ya Burundi watakuja kusema sisi sio watanzania ni warundi kwahiyo wiraya hizi zinarudi Burundi!
 
Du! Ikuru ilishaanza kidogo kidogo watu waliapishwa kule Kuna Rais alikaribishwa
 
Katiba katiba katiba!

Mkiambiwa juu ya umuhimu wa kudai Katiba bora, mnaanza kukimbizana na marungu kuwaangamiza CHADEMA. Haya sasa, muombolezaji Bigambo anaelekea kufanikisha matakwa yake! Kwa hiyo, Wabunge wa Mkoa wa Kagera kubalini matokeo, Bigambo kisha wapiga dole tayari!
 
Kuunda mkoa mpya kwa lengo la kuomboleza kifo au kuenzi mtu fulani ni hoja ya kipumbavu na haina mashiko.
 
Du! Ikuru ilishaanza kidogo kidogo watu waliapishwa kule Kuna Rais alikaribishwa
CCM ilifanya makosa makubwa kumpa madaraka yule mtu, alikuwa na chembechembe fulani za ubaguzi na upendeleo.
 
Nilikuwa napinga Chatto kuwa Mkoa, ila kwa hoja za kipuuzi za hawa Wabunge naunga mkono Chato uwe mkoa...

Hawa wabunge ni wakabila sana, ili kumaliza hili huo mkoa umegwe, wanalalamika atafikiri huo mkoa ni Nchi washenzi kabisa hawa.
Chato haina sifa ya kuwa mkoa hata kidogo
 
Hakuna sehemu inaitwa kakongo wacha kutupiga za shingo
 
Huo utakuwa ni utumiaji wa hovyo fedha za walipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…